Bros. mbona majibizano yenu yanaweza kuleta kuchikiana .twende na hoja,ukiulizwa jibu hoja hivyo ndiyo njia za kupata solutions.au kuna previous issues?Shusha pressure, kisha msamehe bure... Kachangia kwa muktadha wa kiimani.. Mtazamo ambao yuko sahihi.. Japo katika uhalisia wake inakera
Hapana si kila swali nawajibika kujibu... Nitajibu nitakachoona kinafaa kujibika... Na nitaangalia namjibu nani, nini na Kwanini... Kuna mahali niliandika case closed.... Ni baada ya kutafakari m na kuona sasa badala ya hoja ni mipasho na vijembe....Bros. mbona majibizano yenu yanaweza kuleta kuchikiana .twende na hoja,ukiulizwa jibu hoja hivyo ndiyo njia za kupata solutions.au kuna previous issues?
Hata sijakuelewa, naona ulikuwa unamjibu mwingine, ulipojibiwa, ukageuza kibao uka add jina langu. What happened?Ndugu Roman Israel Esq Wewe ndo mkatili bhana.
Unataka mpuuzi kama yule na upuuzi wake woote aachwe tu asiseme?
Tuseme kwamba kaonewa kwa hili lililotokea mkuu?
Ukatili ni kama kubaka
Au kumbambikia kesi mtu asokua nayo.
Au kumuambia aliyelawitiwa kwa lazima kwamba kayataka mwenyewe wakati kafuatwa nyumbani kwake.
Lakini mtu kama huyu ambaye alikuwa anawavutia watu kwa umbile lake,kwa maneno yake,kwa tabia zake na kwa mikao yake,leo yametokea yale ambayo akiwavutia watu kwayo kisha wengine wakipigia msumari kwamba kayataka mwenyewe unasema ukatili?
Katili ni yeye ambae aliufanyia ukatili mwili wake na bado hajajuta kuufanyia ukatili mwili wake kwa sababu anacholaumu ni simu kumpotea na huyo alosambaza kwa maana anachojuta ni kuwa bora isingesambaa tu angeendelea na mhezo wake.
Hajaonesha kujuta bado juu ya alilolifanya na huo ndo ukatili anaoufanyia nafssi yake mwenyewe.
Muhimu aliyatakamwenyewe.
Pili ajifunze kuachana na umaarufu
Tatu ajute na kitu alichokifanya kutorudia.
Leo amber lulu anaonekana ni msafi kuliko huyu bwege.
Leo gigy money anaonekana ni msafi kuliko huyo bwege.
Yani kwa ufupi atiwe adabu ya kisheria.
Mkono kanyea mtoto, usiukate! Tumuhurumie Amber Rutty. The poor girl is sick in the head. Anatuhitaji msaada wetu sasa more than ever![emoji120][emoji120][emoji120][emoji23]
Muuuweniiiii basi afee tujue moja kauwawa haya mambo ya kusemana vibaya mitandaoni yameshapitwa na wakatiBibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke
Lawama nyingi zimemwangukia tangu aachie video chafu lakini kabla ya hapo alishaachia picha nyingi tu zenye mikao ya kutia kinyaa na haya mbele ya jamii iliyostaarabika kuheshimika na yenye mipaka na faragha za watu... Washika dau na mamlaka husika tulimkalia kimya.... Tulidharau... Naye kwa kujiona yuko sahihi akazidisha ufundi katika uchafu aliokuwa akifanya
Hakuna aliyewahi kuthubutu kuhoji kama huyu binti ni mzima na hana tatizo la kiakili, kachanganyikiwa! ama stress za maisha... Hakuna aliyewahi kujiuliza kama ana wazazi ndugu na jamaa wanaojiheshimu na kuheshimika... Hakuna aliyejaribu hata mmoja kumkaripia kati yetu sisi bali kati yetu kama jamii tulimdiss machoni huku moyoni tukimtamani..
Tumelea uharibifu sasa tunataka kukimbia uvundo... Huu ndio unafique wa binadamu katika viwango vyake... Utakatifu wa nje ndani ya mioyo iliyooza na kunuka ufirauni....
Picha zake za mwisho kabla ya kutiwa nguvuni pamoja na video zake vilimtambulisha mbele ya jamii vile alivyo lakini pia matokea ya malezi kuanzia nyumbani mpaka mitaani... Alikuwa akihamasisha ulawiti kwa njia zote huku akidhani ni sifa...
Jamii kapuku kwa unafique uleule ikashangilia bila kujua nao ni sehemu ya kile alichokuwa akikifanya... Lakini juzi alipopandishwa kizimbani akitokea mahabusu akacheza na akili za wapuuzi wengi... Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana.... Kwa mkao ule wa kubinua kalio moja juu ni tafsiri ya kwamba kama si kulawitiwa sana basi kaingizwa kitu kigumu huko njia ya haja kubwa kilichomuumiza....
Ghafla amewin huruma ya jamii ileile iliyoshangilia kukamatwa kwake.... STUPID! YOUND SILLY GIRL[emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]! kwa kujibinua kule mitandaoni alitegemea akidakwa afanywe nini!? SIUNGI MKONO UKATILI LAKINI INAPOBIDI KUMPA MTU AKITAKACHO UNAMPA... To hell with public sympathy and the so called human rights.... To hell amber rutty, to hell the community that's supports her... To hell her followers.....
Ubuyu ulkanza kama kambegu kadogo.Ubuyu ulianza kama mchicha.
AsanteUbuyu ulkanza kama kambegu kadogo.
Mbuyu ulianza kama mchicha