Kama ni kweli Siti nitakupendaje!! Umeanza kunivutia sasa naona tunaelekea kuelewanqHabari za jion Watanzania wenzangu,kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana,maneno mengi yasiyo na tija juu ya ili taji la Umiss Tanzania 2014 mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru ndani ya nchi yangu Tanzania,kwa roho safi nimeamua mwenye kujivua taji hilo na kuacha wanayeona anastahili taji hili apewe ili niendelee na maisha yangu kwa amani,isiwe shida sana kwani sitegemi taji hili ili kuishi
HIVI NDIVYO ALIVYOPOST KWENYE WALL YAKE FB..FEW MINUTES PAST
#kazi kwake sasa Lundenga
Ujumbe wake wa FB anaonyesha kama vile ameonewa. Passport haiwezi kuonyesha umezaliwa mwaka 1989 harafu cheti kipya kinaibulka kwamba umezaliwa mwaka 1991 na watu ''wasikuseme sana kwa maneno mengi yasiyo na tija''
Haimaanishi kwamba kesi imeisha. Jela bado iko pale pale
unajua hapa mchezo ulikuwa ni kuomba new birthcertificate kwa ajili ya miss Tanzania tu,vingine vyote vingebaki vya zamani,ndo ubaya wa kuanika maisha yako.
kavua taji na zawadi arudishe