Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

Yaani kwa kauli yake hiyo, Sitta anaamini kabisa kuwa ni candidate wa Urais!

Vv
 
Makonda kwa macho yangu nimekuona live ujisafishe hebu tuone, kutumika ni kubaya wanakuharibu kjana ambaye ungekuwa na manufaa baadaye lakni kaa ukijua wanakupoza kisiasa na uongozi unao uamini kwamba unakufanya uwe hivyo hauta muda mrefu, watakaokuhukumu baadaye ni ss vjana wenzio.
 
Kwani nani kakwambia iran hana ujuzi?.
kama kigezo ni kuzungukwa na nchi adui hata iran pia imezungukwa na nchi adui.
baadhi ya nchi umetaja kama adui wa israel wakati si kweli,egpty wana mkataba wa amani,jordan wana mkataba wa amani,
lebanoni tayari waliwatoa israel nchini mwao kwahiyo hawana uhasama ,ni syria peke yake ndo inafit kuitwa jirani adui na israel lakini wana ceasefire na kuna askari wa UN peacekeeper mpakani,sasa sijui nani kaufyata.
ujue tatizo lako wewe ni ushabiki uliopita kiwango na usiojali hali halisi ni ipi.
kama israel wanapigana na gaza hadi silaha wanaishiwa ndani ya wiki tatu ,sijui itakuaje wakipambana na nchi

vita gani ambayo hawo washenzi wenzio wameshinda zidi ya israel tangu mwaka 48? Vifaa au bila vifaa. Warusi wenyewe wameshindwa itakuwa hao mafara wairani mwisho wawo upo kikaangoni.
 
Sitta anazeeka vibaya na kadri siku zinavyosonga mbele akili nazo zinamwishia! Yaani anashabikia vurugu ama kweli sitta kavurugwa kweli!
 
Jana Mzee Butiku alimtaja Sitta na Membe kuwa ndio waliomtuma Makonda kufanya haya
 
Kilichomkuta jana Warioba ni msiba wa kujitakia
Mi sielewi nchi inakwenda wapi yaani ni Mzee Warioba peke yake ndiyo kapigwa ban ya kujadili mambo ya nchi yyake! Hivi kwanini kama anachoongea ni pumba msimpuuze . ..wapi... mnajua kuliko sisi kwamba Mzee ana hoja na msipokuwa waangalifu ataliporomosha ghorofa la michuzi. Historian itawahukumu.
 
Kuna uhusiano gani kati ya sita na makonda zaidi ya huu hapa?:-

1. Sita ni mwanachama wa ccm na Makonda pia ni mwanachama wa ccm.

2. Sita ni kiongozi katika ccm na Makonda kwenye UvCCm

3. Sita ni msukuma/mnyamwezi na Makonda pia ni msukuma/mnyamwezi.

4. Sita ni mchachuaji wa katiba ya taifa na makonda ni mpiga debe wa katiba iliyochakachuliwa na sita.

5. Sita ni mtunga sera/mfadhili wa vurugu za mikutano ya kutoa elimu kwa wananchi kuhusu katiba na makonda na msimamizi na mtekelezaji mkuu wa vurugu hizo.

6. Sita ni mgombania uraisi wa ccm, makonda?..........................

7........................................................................................

Endelezeni mnaofahamu zaidi.

Sita akikosa huo uraisi wa ccm, tutegemee kwamba yeye na makonda wataunda genge gani tena? Huu ni ukabila ama ni uhusiano wa kiundugu?

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.
 
sitta kaisha.kawatukana.kawafedhehesha viongozi wa dini .asubiri laana ya viongozi wadini
 
hakuna laana kubwa kama kuwa na NJAA

KINACHOMSUMBUA SITTA NI NJAA NA KINACHOMUUMIZA ZAIDI NI UJIO WA LOWASSA MADARAKANI 2015
SIO TU ANAWAZA ATAKUWA WAPI BALI MAISHA YAKE YATAKUWA WAPI .......

SHAME SITTA
 
Amesema hawezi kujibu hilo swali kama vile Sitti Mtemvu Miss CCM alivyojibu. Kumbe wote wanafanana.

Inapotokea mtu mwenye mawazo tofauti kuhusu katiba inayopendekezwa akatoa maoni yake, waunga mkono viongozi na vibaraka wao wanakuwa wa kwanza kusema eti wawaachie wananchi waamue wenyewe. Lakini pale wao wakiongozwa na mwenyekiti wao 'propesa' JK wanaposema katiba inayopendekezwa ni nzuri muipigie kura ya ndiyo hawaoni kama wanawalazimisha wananchi kufanya yale wanayoyataka wao. Kweli nyani haoni 'tundule'

Kauli ya Sitta inaashiria kuwa pale ambapo unaposikia mtu anaongea vitu usivyopenda kusikia umrukie umpige chupa, ngumi mateke au chochote unachoweza. Hii ni kauli ya kiongozi mkubwa kabisa katika nchi hii. Kwa aina hii ya viongozi, tuache kulalamika kuwa ni maskini maana hata dunia ingetushangaa kama tusingekuwa maskini kama watu wenyewe ndio hawa. Na kwa kauli kama hizi, nahisi wameona utajiri wa nchi wamechukua wamemaliza, sasa wanataka kuwaondolea watanzania hata amani (japo ya kimagumashi) waliyokuwa wamebaki wakiitumaini.

Sitti=Sitta
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.

Sitta hawezi kusema tofuti maana ndiye baba yake Makonda unategemea aseme nini ? Hujaona jinsi alivyo jitahidi sana kumpa coverage ?Kiburi cha Makonda kina mizizi .
 
Waliyofanya fujo si wanachi ni vijana wanotumwa na mafisadi,kwanini ilipotajwa kuwa na Akunti nje ndo mambo yalibadirika.kama wangeona hoja za Mzee Warioba ni za upotoshaji na wao wangetafuta jukwaa lakupinga yote aliyo yafafanua.Kumvunjia heshima Mzee wetu ni laana itakayopiga wengi.Tunataka Raisi azungumze kuhusu hili.
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.

Wananchi walio wengi wakikubali jambo hakuna vurugu inayoweza kutokea na hii ndiyo haki, fujo zinasababishwa na jamii ya walio wengi kulazimishwa!
Kama walio wengi wamekubali, Warioba na timu yake waachwe waendelee na watapuuzwa tu bila fujo!
 
Sitta anazidi kujishushia heshima kwa kutamka kwamba Waryoba kajitakia. Kwa kutamka hivyo ni dhahiri anabariki uhuni uliofanywa jana.
 
Mheshimiwa Sitta yuko sahihi kabisa nami namuunga mkono kwa asilimia mia...Warioba anatakiwa awaachie watanzania wataamua wenyewe lakini huku kuhangaika kwake na kujidai yeye ndiye aliyekaa na Mwalimu kuliko watanzania wote kutamuumbua siku si nyingi

Laiza kama mnamtaka Warioba awe kimya vipi JK na kelele za kupiga kura ya ndiyo ? Je hatikiwi kuachia wananchi ?
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.

Huyu Sitta hakika ni janga katika nchi hii na historia lazima itamhukumu tu. Hivi hao wananchi watafanyaje maamuzi kama hawajui maudhui yaliyomo katika katiba yao hiyo ya CCM iliyopendekezwa? Ni lazima wananchi waijadili hiyo katiba ya wezi (CCM) ili wajue uzuri na ubaya wake ili waweze kufanya maamuzi yaliyo sahihi.
 
hakuna laana kubwa kama kuwa na NJAA

KINACHOMSUMBUA SITTA NI NJAA NA KINACHOMUUMIZA ZAIDI NI UJIO WA LOWASSA MADARAKANI 2015
SIO TU ANAWAZA ATAKUWA WAPI BALI MAISHA YAKE YATAKUWA WAPI .......

SHAME SITTA
Amekaa mezani tangu miaka ya sitini. Kama hajashiba mpaka sasa inaelekea atazikwa na njaa.
 
Mheshimiwa Sitta yuko sahihi kabisa nami namuunga mkono kwa asilimia mia...Warioba anatakiwa awaachie watanzania wataamua wenyewe lakini huku kuhangaika kwake na kujidai yeye ndiye aliyekaa na Mwalimu kuliko watanzania wote kutamuumbua siku si nyingi

Angalieni njaa zitafanya Sitta awaingilie.
 
Sitta is beyond redemption. The man is so deep in the sin of betrayal of peoples will that the hand of savior will not reach him.
 
Back
Top Bottom