Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

Sitta: Warioba amejitakia mwenyewe

Waliyofanya fujo si wanachi ni vijana wanotumwa na mafisadi,kwanini ilipotajwa kuwa na Akunti nje ndo mambo yalibadirika.kama wangeona hoja za Mzee Warioba ni za upotoshaji na wao wangetafuta jukwaa lakupinga yote aliyo yafafanua.Kumvunjia heshima Mzee wetu ni laana itakayopiga wengi.Tunataka Raisi azungumze kuhusu hili.

Rais yupi? Propesa JK? utasubiri sana
 
Laana gani ya viongozi wa dini hivi viongozi wa dini wakizungumzia suala la kisiasa linatokana na maandiko matakatifu? Wewe ndio uliochanganyikiwa kwa maana hujui yapi ya mungu na yapi ya kidunia.tena unatisha kwa sababu kiongozi wa dini anaweza kutembea na mkeo ukaogopa kumkemea kwa sababu unaogopa laana hahahahaha
Daniel alikuwa kiongozi wa kidini na mwanasiasa, Jesus alikuwa nabii na mkosoaji mkuu wa serikali hata wakati mwingine alimwita mfalme "MBWEHA", yohana alifika mahali akamkosoa mfalme kuoa mke wa kaka yake.
NI DINI GANI UNAYOIFAHAMU WEWE INAYOJITENGA NA SIASA?
 
Sitta akifa nitajitolea kuipeleka maiti yake ziwa victoria ikaliwe na mamba!!!!!
 
..subiri siku,hakika Sita na wanafiki wenzako kama mama megji tunawaombea mfe kifo cha mateso
 
Sitta ni mtu mbaya sana kuwahi kutokea ktk nchi hii.
 
Huyu sista ni hajielewi, hakuna hata mmoja aliyewakataza kuandaa midahalo kwa ajili ya katiba yao ya CCM, na wao waende wakaandae hiyo midahalo ya kwao, aache kuwafanya watanzania mbumbuzi
 
Sita.....sitakiiiiii!!!!

Ni mmoja wa wazee wachache katika tasnia ya siasa za nchi hii ambaye hakubahatika kujaliwa busara hata tone.... Kingunge amempiku kwa mbaaaali. Huyu hata kuwa kiongozi wa kimila wa kuongoza mitambiko hafai. Vyeo alivyopata ni bahati tu na vinamharibu ukimpa zaidi ya hapo atamtukana Mungu na atapiga marufuku kwenda ibadani kkusali na kuwataka watu wamwabudu yeye kwa kuwa ni Mungu!!!!
 
Huyu sista ni hajielewi, hakuna hata mmoja aliyewakataza kuandaa midahalo kwa ajili ya katiba yao ya CCM, na wao waende wakaandae hiyo midahalo ya kwao, aache kuwafanya watanzania mbumbuzi
ukishangaa ya Musa utayaona ya huyu Firauni!!!!
 
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.


Kama kweli wananchi wengi wanaiunga mkono,kwanini askari walimwagwa kuzunguka Bunge wakati wa utungaji wake. Ile ilikuwa ni ishara tosha kuwa wananchi hawakuridhika na mchakato wa bunge maalum la lakatiba. Na bila polisi kuwekwa barabarani hakika watu wangemfuata palepale Bungeni na kumpiga viboko. yeye Sitta ashukuru kuwa polisiccm walimlinda na si vinginevyo. katiba inajulikana imetungwakwa mtutu wa bunduki nashangaa jana kwanini hao polisi hawakuweka ulinzi kama sio njama. katiba ni mali ya wananchi na si watawala.
 
mjina wenyewe unatokana na chapa ya namba ya kishetani, chapa ya kifisadi, chapa ya mnyama chapa ya 666, ni jina la kishetani kama ilivyo sura yake.
 
Kwa mtazamo wangu, kitendo cha Sitta kutia neno katika hilo ni kosa kimkakati. Kwa wanaoona kwa jicho makini wanaelewa jinsi kipindi hiki kilivyo kigumu kwa majaaliwa na hatima ya nchi yetu. Ni bahati mbaya kwa viongozi wetu wakiwemo waandamizi kama Sitta kujisahau na kushindwa kupima athari ya maneno yake kama Mtanzania aliyekuwa Mwenyekiti wa BMK ambalo limeacha manung'uniko kwa baadhi ya Watanzania.
 
kwani sita yeye analipizuri zaidi ya tamaa, watu kama mzee warioba ambao wamejitokeza kutufunulia kilichomo wanawafanyia fitina, anataka watu wawe wajinga tu....!?
 
Back
Top Bottom