sijamwelewa Sitta, ina maana tukimpiga yeye ndiyo atajua kuwa hatutaki ushenzi wake wa kuiua Tanganyika?
Subutu gusa dola uone kazi yake
sijamwelewa Sitta, ina maana tukimpiga yeye ndiyo atajua kuwa hatutaki ushenzi wake wa kuiua Tanganyika?
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.
Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.
Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.
Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.
Kwa maelezo yake Sitta, inawezekana kabisa kuwa ndiye aliyemtuma, kugharamia na kuratibu mpango wa Makonda!
Mheshimiwa Sitta yuko sahihi kabisa nami namuunga mkono kwa asilimia mia...Warioba anatakiwa awaachie watanzania wataamua wenyewe lakini huku kuhangaika kwake na kujidai yeye ndiye aliyekaa na Mwalimu kuliko watanzania wote kutamuumbua siku si nyingi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.
Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.
Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.
Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.
Maneno mengiiiii, pointi hakuna hata moja kwa uliyo ya andika.
Laana gani ya viongozi wa dini hivi viongozi wa dini wakizungumzia suala la kisiasa linatokana na maandiko matakatifu? Wewe ndio uliochanganyikiwa kwa maana hujui yapi ya mungu na yapi ya kidunia.tena unatisha kwa sababu kiongozi wa dini anaweza kutembea na mkeo ukaogopa kumkemea kwa sababu unaogopa laana hahahahaha
Hivi nieleze kuna tofauti gani na wana ccm mbalimbali ambao kila kukicha wanapanda majukwaani na kuwaambia wananchi waikubali katiba iliyopendekweza kwa sababu ni 'nzuri'? Kwani Warioba, au mtu mwingine yeyote yule haruhusiwi kusema kuwa katiba iliyopendekezwa si nzuri?
Jambo ambalo limejitokeza ni kwamba bado katiba iliyopendekezwa haijatolewa kwa wananchi bado. Badala yake sisi wananchi tunashinikizwa tuikubali hiyo katiba. Ni vtema basi, wakajitokeza watu wenye kuielewa katiba, pamoja na mchakato wake wote, kuelimisha wananchi. Si vyema kuwaburuza wananchi wakubali kitu ambacho hawakielewi vizuri, hasa katiba ambayo itaathiri maisha yao kwa miaka mingi ijayo.
Kweli kabisa mkuu, lakini mzee Warioba aache kabisa, kama anavyowaambia wenzie, kujifichaficha nyuma ya MWALIMU!
Nani kawateua Warioba, na Butiku, kufanya kazi ya 'PRIESTHOOD IN MWALIMU NYERERE'S TEMPLE'? HAWAWEZI KABISA KUONGEA WAO KAMA WAO! KILA KITU MWALIMU MWALIMU MWALIMU!
WATU SASA TUNACHOKA KURUDISHWA NYUMA KIFIKRA NA KUGANDISHWA MIAKA YA SITINI NA SABINI! HEBU TUSONGE MBELE!
Kumbe mtu akiongea kitu usichokipenda ukamvamia hapohapo na kumpiga ni akili na kujitambua kwa mtanzania wa sasa! Basi yaliyotokea jana ni kionjo tu tusubiri movie lenyewe
Kilichomkuta jana Warioba ni msiba wa kujitakia
Huyu Mzee ashachanganyikiwa kabisa, laana ya viongozi wa dini ishaanza kumvuruga