Mkuu nchi ipo vitani.watawala wameshatangaza vita,kila anayepingana na kile wanachokitaka wao ni kupigwa tu.Heri yangu mimi now days natembea na nyundo mfukoni ili likitokea la kutokea najitetea maana sipo tayari kukubaliana na kila upuuzi wao.Tunamsubiri nae ajitokeze hadharani, ndio tutajua kati yake na Warioba nani anajitakia mwenyewe.
Tunashkru kama karuhusu na kushabikia vurugu.
Hapa ni kujibu mapigo tu hatuna namna.
Watanzania tunapenda Kushabikia upuuzi sana,some time mambo kama haya ndiyo yananifanya nipate shida kuamini kama Tanzania kuna watu wenye uchungu na nchi hii au ni njaa tu zinawasumbua au kama kuna upinzani wa kweli.Hawa jamaa wamechakachua only kura 200 za BMK and no one is able to question na wakawajibika.jana walisema A,kesho hicho hicho kilichosemwa ni A kinaitwa B,still unategemea kura za Hapana zitoshe?how?-labda nifafanulie na mimi-Labda mnataka kuwasindikiza kwenda kutimiza matakwa yao kiulani.Yaani watu wazima tumeshindwa kujifunza kutokana na makosa and past experiencesSipendi kumjadili mwendazake kisiasa S. Sitta kwasababu kwa maoni yangu ametumika na walio mtumia hawamtaki tena. Kama hajui hilo atafahamu mwakani alivyo najisi mbele ya Watanzania.
Jambo la msingi ni wazalendo wote wa Tanzania kuungana bila kujali vyama kuhakikisha kura ya HAPANA Inashinda! Matusi na ushenzi tuliona ktk BMK na Kushambuliwa juzi kwa Mzee wetu Warioba ni kiashiria cha wazi wenye Katiba wamejipanga ikipita bila kujali kura gani Imeshinda. Mapambano ya kulinda kura yatakuwa magumu kuliko Kampeni za kuelimisha Watanzania.
Sasa mbona mzee Walioba anatoa hoja na nyie badala ya kutoa hoja mnarusha viti na chupa za maji.anyway uharo huu unaoutoa unasababishwa na makosa yaliyofanywa na wale waliokuwa pale blue pearl-Makonda alipaswa kukatwa kichwa ili akamsalimie Mwalimu na kumwambia watanzania sasa wanataka kujiamulia mambo yao wenyewe na si kuamuliwa kila kitu na ccm tena kwa nguvu.Kama angekatwa kichwa, hope ingekuwa fundisho kwa wajinga wenzakehapa amna kueshiamiana hapa tunataka hoja tu,heshima uko kwenu singida
Mimi nafikiri mnamsingizia, sidhani kama mtu mzee mwenye hekima kauli hii inaweza kumtoka kinywani! Lakini kama kayasema kweli basi maana yake anaunga mkono matendo haya. Na yeye basi aende kwenye kongamano au mikutano kuitetea katiba hiyo pendekezwa na asiwekewe ulinzi ili a one ikiwa kweli inaungwa mkono. Waliofanya haya ni wahuni tu haijalishi wako upande gani; na ikiwa un unawaunga mkono kwa sababu tu wako upande wako na wewe ni mhuni.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.
Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.
Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.
Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.
Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.
Naunga mkono hoja ya Mantissa.Mkuu usijitoe ufahamu kwa Mwangosi aliuliwa na nani?Hata waliopo madarakani wanatuua directly and indirectly.Hivi nikumbushe Makonda yupo wapi?Kwa hali ilivyo sasa kada yeyote wa ccm anaweza kuamrisha police na wakatii.je tusio wanaccm tutaishije katika mazingira ya namna hiyo?hapo ndipo hoja ya jino kwa jino ina make sense.Kumbe Mantissa ungekuwepo ungemuua Makonda...angalia jinsi unavyodhihirisha utakavyokuwa tukikupa dola utawale...hakika utakuwa zaidi ya mumiani..
Mkuu njia sahihi ilikuwa ni kuandaa mdahalo mwingine (Safari hii msemaji mkuu akiwa Sitta-tena mngeweza kujaza watu kwa kupeleka fuso kila kona ya nchi ili ziwabebe watu kuja kwenye mdahalo) ili muwape maziwa wale walioadhirika na kile mnachokiita uongo wa Warioba na si kurusha viti na chupa za maji.Yaani ccm hata aibu hamna?Kweli mmedhamiria kuvuruga amani ya nchi hiiWarioba anatakiwa ajiunge na chama au kundi la jamii linalotambulika ili awashawishi wananchi wapige kura ya hapana lakini asitumie hoja kwamba yale aliyoyaweka yeye ndiyo yalikuwa sahihi na yaliyowekwa na bunge sio sahihi. na asiwadanganye wananchi kuhusu maadili na kumwajibisha mbunge kwani angezingatia gharama na muda angeelewa kuwa kama maoni yake yangekubalika basi yule anayeshindwa kazi yake inakuwa kumtengenezea fitina yule aliyeshinda hivyo hakutakuwa na shughuli za maendeleo zaidi ya kunyang'anyana madaraka. Mshauri Warioba asajili chama kwani ni yeye aliyeandika kwenye katiba kuwa chama cha siasa ndicho kitaelimisha raia kuhusu uraia.
huna adabu labda wewe ndo unavuta bangiWarioba ana vuta bangi
Mheshimiwa Sitta yuko sahihi kabisa nami namuunga mkono kwa asilimia mia...Warioba anatakiwa awaachie watanzania wataamua wenyewe lakini huku kuhangaika kwake na kujidai yeye ndiye aliyekaa na Mwalimu kuliko watanzania wote kutamuumbua siku si nyingi