FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 801
- 466
Hata hivyo Sitta siyo mtu makini kama watu baadhi na yeye mwenyewe anavyojinadi au kuwa hadaa watu,jamaa huyu ni mroho wa madaraka.Kama siyo,ataje mambo kumi ambayo yeye amesimamia kulitetea taifa na serikali ikampuuza na hatua alizo chukua baada ya kupuuzwa ili kudhihirisha uadilifu wake.Otherwise NO! Maana huyu jamaa anatia mashaka,mara CCJ,CHADEMA,CCM then where?