Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Nilidhani uzee unaendana na hekma kumbe sivyo Sitta pamoja na uzee wake bado ana akili kama za mtu wa miaka 12.

Mkuu baadhi ya wana siasa hawatabiriki i.e ni ma-flip floppers mahili, hivi unaweza kuamini kituo wanacho pendekeza kishughulikiwe ndio walikuwa wanakitumia miaka iliyo pita kuwakandia MAFISADI wa kweli na wa kubuni? Walizunguka Nchi nzima wakitumia kituo cha ITV kutangaza hazma zao za kuwa-contain MAFSADI papa - Je hiyo ilikuwa ni political gimmicks za kutaka kuzidi kete washindani wao come 2015 au? Je imekuwaje kampuni iliyo kuwa inawakupatia platform ya kujinadi kiana leo hii wanaiona ni kero!!
 
Ukiwa mwanachama wa ccmmmmmmm Uko juu ya sheria shoot to kill Siku ya hukumu unapitishwa kwenye mlango wa jaji verdict not ----in guilty again mfano tosha only in tz unaweza ukapitia mlango was jaji chama cha mapinduzi kidumu milele
 
Mh.Sitta walimleta hapo ili waweze kumumaliza KISIASA,kwa kuwa anacontest nafasi ya urais 2015.Kiukweli Sitta wa leo si yule aliyekuwa anawapiga vita mafisadi na kumtaka Mh.J.K kufanya maamuzi magumu!

6 alipatacharazwa hamsa ishirini kwa uroho wa mkate wa siha na siagi!
 
Hapa tunamzungumzia 6 kama mbowe na wengine majimbo yao yameoza kama urambo fuguwa thred zao tuwajadili lakini nadhani hulijui jimbo la urambo la 6 na hulijui jimbo la Hai la mbowe
Huwezi kufananisha majimbo haya mawili nitofauti sana ardhi na mbingu Hai iko juu sana kimaendeleo yote kuanzia miundo mbinu hadi huduma za kijamii ukizingatiaa mikoa yote miwili yenye haya majimbo ni mikoa tokea ezi za mkoloni muuwaji mjerumani.

Unapozungumzia urambo siyo kweli kwamba jimbo lote lipo nyuma kimaendeleo na unapozungumzia hai siyo kweli jimbo zima linamaendeleo,ebu tembelea hai katika kata za kia,rundugsi,weruweru,masama na hai mjini.Ni machame tu ndpo kwenye maendeleo.
 
Big man mm sipo hapa kubishana na sipo hapa kuvutia mtu kisiasa au kumsifia mtu.
Ukweli upo pale pale Hai ipi juu kimaendeleo kuliko Urambo.
Agalia ubora wa Shule.Vituo vya afya, Miundo Mbinu, Ufaulu wa wanafunzi. Kipato cha mtu mmoja mmoja.na hata Makusanyo ya kodi za serikali na vyanzo vya mapato kwa ujumla.
 
nyerere aliwahi kusema hivi kiongozi akisema anaichukia rushwa haitoshi kumwani kwa maneno yake badala yake mkazieni macho mtajua kama anaichukia kutoka moyoni...! Kikubwa let this be a good time kujua njama zao. Sitta ni kati ya wanaopendelea katiba ya sasa iendelee kwa tumain la kupata urais 2015. Watch out they are preaching what they do not practice....

Wanasiasa na siasa za nchi masikini (siyo kwa rasilimali, bali human capital development), ambako elimu ya kupambanua mambo si kubwa kuwawezesha wananchi kuwa na independent mind, life choices and self-determination zinaweza kueleweka vizuri ukisoma maneno ya Jacque Fresco:

"Politics was good a hundred years ago. Today, politicians have no ability to solve any problems because they are not students of behavior. They are not students of agriculture, oceanography, they know nothing about the factors that operate the world. So, they say things that people like to hear. And that gets them elected. Now scientists on the other hand are not concerned with public approval. What they do, even if everybody on earth believe the earth was flat, they would say: 'You're wrong, this is the evidence we have to support the fact that the earth is round' but they don't say: 'it's a little round and a little flat' - that's politicians." ~ Jacque Fresco
 
Well said man! But what suppose be our roles as the potential group in the social since we went to school of their revenue!
 
Well said man! But what suppose be our roles as the potential group in the social since we went to school of their revenue!

I think currently our humble role and responsibility to our people is to tirelessly encourage them through active involvement in all walks of their life affairs. The only hope for developing a new civilization is to accept responsibility for improving our lives through knowledge, understanding, and a deeper comprehension of humanity's relationship to natural processes of evolution. Our future is determined by effort we put forth to achieve this transition. I know, through socialization and in all levels of schools, we are not taught to be thinkers, but reflectors of our culture. Let's teach our people to be thinkers, and we shall change Tanzania. If one think s/he can't change Tanzania to a more better Tanzania, It just means s/he is not one of those that will. I hope you are! That is the role that you and I and every body else can play...
 
I think currently our humble role and responsibility to our people is to tirelessly encourage them through active involvement in all walks of their life affairs. The only hope for developing a new civilization is to accept responsibility for improving our lives through knowledge, understanding, and a deeper comprehension of humanity’s relationship to natural processes of evolution. Our future is determined by effort we put forth to achieve this transition. I know, through socialization and in all levels of schools, we are not taught to be thinkers, but reflectors of our culture. Let's teach our people to be thinkers, and we shall change Tanzania. If one think s/he can’t change Tanzania to a more better Tanzania, It just means s/he is not one of those that will. I hope you are! That is the role that you and I and every body else can play...

Coming with you! The destiny our people and future generation is bound with that few number people who had that opportunity to visit the schools.

What comes as stranger is that tendency of that knowledgable to abondon their societies instead they established anothet block in the society knowns HAVE.

And this of block of HAVE which are educated and politicians in collaboration with the intruder investors had been exploitating the middle and low class by taking their resources and low wages payment.

Way forward.
The development of our people it will depend on the establishment of strong insitutions ranging from academics, social insitutions like strong family with moral obligation together with functional institutions i.e goverment, judiciary and parliament all these together we wiil have hope to reach our destiny of living in the country of the middle economy after 20 yrs frm now.
 
Absolutely, however, to operationalize what you have rightly suggested, we must work out anything if we put our mind to it, study it through research and do hard work instead of finding simple answers to tough questions that disturbs all life walks our people (being it social, economics, politics or cultural). We must therefore be creative in whatsoever we do. By creativity, I mean taking known elements and putting them together in unique ways that aims to arrive at workable solutions.
 
6 amepewa Mtihan mdogo lakin badala ya kutoa jibu akafanya mazoea matokeo yake kapewa jibu na prop. Anahamaki badala ya kutafakuri na bado mwisho atapigamwano!!.
 
Duh! Sitta? hata Diploma ya Kificho imeonekana Bora kuliko ka Degree kako ka University of East Africa, mbona umeaibisha taaluma ya Sheria na miaka yako 50 ya utendaji kazi? mbona unaiitia serikali na wananchi wa Tz hasara, Yaani wewe na kusoma kote huko, Wasira na Lukuvi ndio wanakupeperusha kama bendera hufuata upepo? kwa hili Jambo nimeona hata Pinda amekuwa mstaarabu/mwerevu kuliko wewe
 
Sita hata kama agefanya vizuri nafasi yake ktk urais tz ni ndogo sana labda awe mpiga debe wa rais ajaye kwa sababu ni msomi lkn anasiasa za majungu na kinyonga mno na nchi hii tumeona siasa za makundi zinavyomtesa jk.
 
Jana nape amesema ccm haipingi midahalo na makongamano
 
Back
Top Bottom