Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Mzee wa Posho za Kujikimu toka lini akawaza kwa maslahi ya nchi? Huoni kuwa ni Makosa makubwa sana Kumfananisha kumshabihisha kumhusisha au kumlinganisha Mzee Jaji Warioba na Sitta Msaka tonge hadi Uzeeni?...
 
babu yetu samweli sita urahisi autafutwi kwa namna hiyo
 
ccm wote wapo kwa maslai yao akuna wa kumwamini ata mmoja kuna watu walimsifia anafaa kwenda magogoni si ndo ingekuwa tabu
 
Mh.Sitta walimleta hapo ili waweze kumumaliza KISIASA,kwa kuwa anacontest nafasi ya urais 2015.Kiukweli Sitta wa leo si yule aliyekuwa anawapiga vita mafisadi na kumtaka Mh.J.K kufanya maamuzi magumu!
 
Sitta anajua kwamba bila katiba mpya kupita na Urais 2015 ndo bye bye. Ndio maana yuko desperate. Lakini kwa mwenendo wake katika kuongoza BMK ni wazi kwamba kazi ya Urais haiwezi.
 
.... Nimesoma Hii Thread, Sijaona Coment Inayomkubali Huyo 6
 
Leo mtamnanga Sitta, kesho mtamnanga Wassira na keshokutwa Nape lakini hao wote ni vibaraka tu...

Wote hao wanajitutumua kutetea chama kwa niaba ya mwenyekiti wao...
 
... Kwakweli Viongozi Wa Ccm Ni Sawa Na Ukoo Wa Mazezeta, Karibu Wote Ubongo Wao Una Minyoo
 
Sita amepoteza credibility ya kuwa kiongozi.Nafikiri wabaya wake wanatumia mwanya wa yeye kuwa kiongozi kwenye bunge hili la katiba kummaliza kisiasa.
 
Leo mtamnanga Sitta, kesho mtamnanga Wassira na keshokutwa Nape lakini hao wote ni vibaraka tu...

Wote hao wanajitutumua kutetea chama kwa niaba ya mwenyekiti wao...

.!.. Kwahiyo Unataka Kusema Kwamba Anaetakiwa Kulaumiwa Ni Mjomba Ziro?
 
Tatizo kubwa la sita ni unafiki. Sita ni mnafiki namba moja! Watu wa aina ya sita ndo wanaotuharibia nchi yetu!
Ama kweli mzigo mzito mpe mnyamwezi aubebe. Hivi ndivyo ilivyo na inavyoenda kuwa. Akiwa amesheheni tambo na kila aina ya mbwembwe Sitta baada ya kutawazwa na chama chake na baadhi ya wajumbe wa bunge la katiba kuwa spika bunge la katiba, Sitta wakati wa kuwashukuru wajumbe, aliwananga mahasimu wake wa kisiasa kuwa HAYA MAMBO YANAWENYEWE, alimalizia kwa kuchagiza neno la wapambe NUKSI.

Sitta aliamini kuwa kiti cha uspika wa bunge la katiba angekitumia kujijenga kisiasa hasa katika mbio za urais mwaka ujao. Sitta akiwa anajitamba akiamini amepiga bao la kisigino, mahasimu wake kisiasa wenye siasa za kisayansi walikwishajua kuwa ule ni mtego 6 hachomoki.

Hili litakuwa bayana saa chache au siku chache baada ya bunge la katiba kuahirishwa. Hakika 6 ataoneka hovyo ndani na nje ya chama chake na mbele ya macho ya watanzania. Pole 6 umevuna ulicho panda.
 
Sitta itabidi aishi kinafiki kama Mrema na Cheyo ...haaminiki tena upinzani wala huko CCM 😛eep:
 
Mpaka sasa 6 hajajua kuwa anajikaanga mwenyewe
 
Back
Top Bottom