Elections 2010 Sitta kujitoa CCM na kujiunga CHADEMA?

Hana ubavu huo, si walitaka kumnyan'ganya kadi akawalamba miguu.Na yeye alilitumia bunge kupata umaarufu, hizo ndio cost zake, wajanja wenzake wamemuwahi, asubiri huruma za JK kwenye uteuzi

na akajifanya kuzima mjadala wa richmond usiendelee
 
Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia CHADEMA.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu Marando awe Spika wa bunge.

Hayo ni mawazo yako. Ila mapinduzi yote yanaanzia ndani na siyo nje. 6 anatakiwa abaki ndani ya ccm, apigane akiwa ndani, ndiyo kwanza uchaguzi umeisha, kwa sita kutoka ccm na kusubiri for 5yrs haitaleta maana, kumbuka KANU ya Kenya Odinga alijiunga na KANU kama katibu mkuu akatoka karibu na uchaguzi na kuimaliza moja kwa moja
 
No i do not suport for Hon Sitta to be out of ccm.He can suport the opp from inside rural party.and he should know that ccm under its organ usalama wa Taifa la ccm,since WAMEMTOSA SURELY their after Him. da & night
 
No i do not suport for Hon Sitta to be out of ccm.He can suport the opp from inside rural party.and he should know that ccm under its organ usalama wa Taifa la ccm,since WAMEMTOSA SURELY their after Him. da & night
 
Hana ubavu huo, si walitaka kumnyan'ganya kadi akawalamba miguu.Na yeye alilitumia bunge kupata umaarufu, hizo ndio cost zake, wajanja wenzake wamemuwahi, asubiri huruma za JK kwenye uteuzi

Hivi kweli Mh SIX atakua na shida kiasi hicho cha kusubiria makombo toka mezani mwao MAFISADI wanapokula vya kupigia raia kabali???
 
Samm Six can not do that, is he not the one who wanted a debate with Dr. Slaa instead of JeyKey?
 
Natamani sasa itokee japo ni vigumu kutokea kwa mbunge kufanya jambo la uzalendo badala ya kung'ang'ania maslahi. Hizi ni tetesi ambazo zinaweza kuwa kweli ama la!!

hapo atakuwa hana uzalendo bali hasira ya kukosa madaraka makubwa
 
Back
Top Bottom