Elections 2010 Sitta kujitoa CCM na kujiunga CHADEMA?

Kama magazeti ya kibongo ukisoma kwa pupa umeliwa....

Muungwana sikusoma magazeti ya bongo, bali niliongea na Mh. 1 kule mjengoni kanijuza hiyo habari, japo na yeye hayupo karibu naye kivile, ila aliambiwa ndiyo maana hata thread yenyewe imeanza na tetesi.
 
6 siyo msafi kiivyo mpaka kufikia hatua ya kuhama wewe......na ile elimu bure ya dr Slaa atatuambia sasa anakuabaliana nayo au?
 
Kama kuna wakati wana jf wenzangu mliwahi kunichanganya ni leo!!!!!! Kwanza Mungi: 6 hawezi kutoka ccm hana ubavu huu hata achakachuliwe hadi Ubavu....., Pili ccm wanamuogopa ..... simnakumbuka alivyo wabeba wakati wa Rich-something...... Kweli Tz ni bongoland !!!:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Kama kuna wakati wana jf wenzangu mliwahi kunichanganya ni leo!!!!!! Kwanza Mungi: 6 hawezi kutoka ccm hana ubavu huu hata achakachuliwe hadi Ubavu....., Pili ccm wanamuogopa ..... simnakumbuka alivyo wabeba wakati wa Rich-something...... Kweli Tz ni bongoland !!!:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:












































View attachment 16775 Ni tetesi tu.
 
kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na el kuwa hatakuwa spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia chadema.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu marando awe spika wa bunge.

nasikia kuna tetesi kuwa 6 katoa sharti moja la kujiunga na chadema ni kuwa uchaguzi wa urambo ukirudiwa na yeye kushinda basi anataka awe kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na 2015 aje kuwa spika!!!

 
Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia CHADEMA.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu Marando awe Spika wa bunge.

Chama Cha Majambazi ni mafioso waliokubuhu wakishakutumia wanakutelekeza, hebu angalia waliokifanyia mambo mengi hicho chama lakini hivi sasa wanabebwa na pesa za walipa kodi bila ridhaa ya walipaji. Dhuluma hii itawafuata hadi kaburini, Chama Cha Majambazi hawawezi kubadilika ni chama cha kukizika na kitakufa kifo cha mende siku si nyingi. Nani anayewahitaji makuwadi?
 
moyo wake ni wa kuleta mabadiliko ila anadrive left wakati wanaharakati wako right hand side. Uamuzi mgumu na hilo ndilo linamkabili. Karibu 6 bana tunakupenda sana huku Chadema
 
Kitendo walichomfanyia Sitta ya kukata jina lake si cha kiungwana hata kidogo. Kama CCM wana utamaduni wa kumwacha aliye madarakani atetee kiti chake iweje Sitta asipewe nafasi hiyo?, Yaani JK ameshindwa kutumia veto power aliyo nayo kuhakikisha walau Sitta anapigiwa kura na wabunge wa CCM kuwa spika?. Kama mafisadi walitaka kumkomoa wangefanya kampeni kwa wabunge ili 6 asipitishwe na wabunge na si Kamati kuu iliyojaa wahuni na mafisadi.

Watanzania wanaangalia mchezo wote na wasitarajie kuwa kwa kumwengua 6 basi watasahau kuwa CCM kimevamiwa na mafisi/mafisadi. Sitta alikuwa ni transformational figure ya kuelekea kukisafisha chama. Kweli sasa hivi inahitajika askari wa jeshi la wananchi wawe upande wa wananchi kuikomboa nchi hii.
 
Tunahitaji RAILA type,mzalendo,mchapakazi,msafi,nk m2 ambaye hawezi kufungwa na siasa za kinafiki za vyama,hata akikosana na viongozi wote wa chama lkn anasapot ya umma
 
Nina habari kuwa jana aliitwa Ikulu Dodoma akakataa kwenda na vilevile leo hakushiriki katika kikao cha wabunge wa CCM kumchagua mgombea wa CCM. Kazi ipo.

huyu mzee mjeuri sana wakitaka kunyang'anya kadi anakimbilia kuanza kulia kama pinda na issue yake ya ma albino
 
OOOOhhhhh God yaani angefanya hivyo angeweka historia TZ, watu woooooooooooote wangempenda, na atashinda kwa CHADEMA hata akigombea, kama ni mm 6 nafanya hivyo kuwakomoa CCM, maana sasa ni kukomoana tu, do it 6, dooo it 6, goooo 6, waumizeeeeee 6, wajue ww kidume 6
 
Hawezi kuhama kwa sababu ya kuukosa uspika,vinginevyo atajishusha hadhi,kwamba ni mroho wa madaraka.

Swala si uspika,kafanyiwa malipizi na mafisadi na kama akijenga hoja mbona itaeleweka tu kwani msuko msuko waliompa na sababu zinajulikana wazi.
 
bora afanye hivyo washauri wake wa Karibu wamwambie tu kuwa huo ni uamuzi wa Busara cause wanamtafutia Kashfa hao CCM... EL na RM wanataka wamzalilishe Vibaya, aingie kwa uwaziri then wamteme kwa Kashfa halafu wamuweke Ndani.. Trust me mtaona akiamua kuziba masikio kinatachomtokea huyu baba wa watu... watataifisha hadi kuku wake.....
wabunge wote wenye nia nzuri na huyu baba wamsaidie jamani...
Mpigeni Anna Makinda chini... wekeni upinzani ili mi hoja isiyo na Tija za huyu baba zikianzishwa wazizime.....
Nasikia Kina chenge hawana haja tena na minafasi yenu ya juu nia yao ni kudhihirisha ubabe wao ....
Wenye masikio na wasikie
Asiyefunzwa na ***** .......................... mwacheni ajifunze mwenyewe:doh:
 
Mpango wa mafisadi ni kummaliza Sitta, asome ala,a za nyakati. Ikikalibia 2015 ajiondoe CCM aende CHADEMA anaweza survive, vinginevyo master plan ya Mafisadi ni kumuondoa kabisa kwenye ubunge akawe mkulima wa tumbaku Urambo. Dalili zinaonekana wazi. Cha kushangaza zaidi ni kwamba sasa hivi mafisadi wanaonyesha waziwazi ni jinsi gani wanataka nchi itawalike kwa kupanga safu zao za uongozi! Naamini hili watalifanya kwa muda tu, kwani siku moja NGUVU YA UMMA itawashukia kama mwewe!
 
Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia CHADEMA.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu Marando awe Spika wa bunge.

source plz...
 
Back
Top Bottom