sister sista
Member
- Jan 6, 2010
- 71
- 2
hizi hear and say izi sio nzuri.facts can do bestNakumbuka Hekaya za Abunuwasi!
hizi hear and say izi sio nzuri.facts can do bestNakumbuka Hekaya za Abunuwasi!
Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia CHADEMA.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu Marando awe Spika wa bunge.

Nasikitika kwa sababu 6 ametusaidia sana Tz kujua mambo mengi sana.Sitta hana lolote. Atabakia hapo hapo CCM akiendelea 'kunyanyapaliwa' na mafisadi mpaka atie akili. Sitta si msafi wa ki hivyo wala si mtu wa ku-sacrifice kama Comrade Dr. Slaa. Sitta ni mtu wa kung'ang'ania utukufu na maslahi mpaka mwisho hata kama vyote hivyo vinakuja na gharama nzito ya ku dhalilishwa.
Kama Sitta angalikuwa muondokaji kutoka CCM basi angali ondoka kishujaa katika kipindi cha lala salama cha Bunge ambapo angali ruhusu mijadala yote ya Kiwira, Richmond, EPA, Meremeta ijadiliwe ikiwemo kura ya wabunge kutokuwa na imani na Serikali. Anguko la serikali peke yake lingemfanya Sitta leo awe "tunu" kwenye mioyo ya Wa-Tanzania. Na baada hapo hata CCM wangalimtimulia mbali basi ingekuwa haisadii tena. Lakini alitaka ku furahisha umma na alitaka kufurahisha genge la Utawala. Mshika mawili basi moja litamponyoka.
Binafsi, sishangai kwa yalimpata Sitta kwani niliyaona kwa mbali yakiwa yana jongea (haswa katika kikao cha mwisho cha bunge lililopita Sitta alivyo act) kuwa linanajongea. Hata nili-bet na rafiki zangu wakati Sitta wa kikao cha mwisho baada kuona Sitta amezuia mijadala yote na kui hitimisha kibabe. Niliwaambia Sitta amekuwa kipofu wa akili na mtu asiye na maono. Niliwaambia kwa hilo ni kuwa Sitta amejihukumu mwenyewe na hawezi tena kuwa Spika, kwa sababu ameshindwa kufanya maamuzi magumu na kuweza kuondoka kwenye kiti cha uspika akiwa Shujaa wa umma. Niliona alishaingia kwenye mtego wa "anguko" lake mwenyewe.
Kwani ameonyesha ukarimu kwa JK na mafisadi kipindi kile lakini ile yote ilikuwa geresha tu na yeye mwenyewe hata kujijengea matumaini kwamba hali ni shwari kwani amewa-save na wao watam -save 2nd term kwa U-spika. Akawa betray hata kundi la wale "wapinanaji wa Ufisadi" akina Mwakyembe wakamshangaa mbona Sitta ame change ghafla.
Nimekuwa najiuliza na kuwauliza watu wengi wanaofahamu Sitta kwa karibu kuwa ni kwa vipi alishindwa kupata maono haya? Nikuwa hana washauri au ndio pengine ni mtu asiye shaurika?. Na mwisho nilikuwa nikimshangaa sana kwa ku 'bank' matumaini yake kila mara kwa JK kuwa atambeba? Yaani huyu Mzee wa Kinyamwezi hata namshangaa walahi?, Mimi binafsi namsikitikia kwa upande mmoja japo sina shaka kwamba amejifikisha mwenyewe katika huu 'udhalilishaji" kwa kutaka yote.
kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na el kuwa hatakuwa spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia chadema.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu marando awe spika wa bunge.
Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia CHADEMA.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu Marando awe Spika wa bunge.
Chuma cha Pua yuko njia panda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nakumbuka Hekaya za Abunuwasi!