Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Fisadi hawezi mchunguza fisadi mwenzake wote hao ni VIBAKA kama wa kariakoo tu....Idiot
mhhhhhhhh? You mean me?Sita you just a shit untill the day you dare to stand and TELL OPENLY the Tanzanians why do you know about kinachokupa Jeuri ya kuongea haya unayoongea
Tofauti na hapo huna tofauti na yule mjinga alitujia na kanzu akijidai ndie mwenye Dowans na kuachwa tu kama Chatu Dume kwa jibwa koko
Ni rahisi sana, Dowans ikilipwa ajiuzulu kwa kuwa atakuwa amedhalilishwa kama spika aliyeishughulikia suala hilo. Ikiwa hivyo atakuwa mzalendo kisha tuingie tena kwenye kinyang'anyiro kingine.Huyu Sitta hata mie siumuelewi! haiwezekani Ngo'mbe akalala katikati ya Simba! hata kama simba hao wameshiba lazima watamlamba hata nywele! Hao wote wamoja tu! Hakuna mkweli yuko mpaka sasa CCM tena na Madaraka makubwa! Ajitoe huko then atueleze ukweli tutamuelewa Zaidi!
Mara hii mmesahau msimamo wa Sitta ulioibua mijadala mikali ya Richmond, EPA na mikataba mingine feki ktk bunge lake. Ama kweli "tenda mema..."
huyu naye sita ni msanii tuu, kwa hatua hii tuliyofikia jahazi la tanzania yetu tuipewndayo linazidi kuzama!!!!!!!! Huo ni mgao wa watu fulani ndani ya uongozi wa nchi hii, wanafanya dhuruma lakini mwisho wa siku wataumbuka mungu wetu hawezi kuvumilia wezi!!!!!!!!!!
Yeye sita aliona mambo yote ya usanii wa richmond akiwa spika wa bunge mbona hakuweza kuzuia hii taflani ya hasara kwa taifa letu, anangojea tumeingia mkenge anaimba usanii wake, yeye ni maghamba pia!!!!!!
Jamaa kumbe yupo..Da! Kweli Igunga iliwapoteza wengi,sasa tutaanza kuwapata hewani..Bado Mama Kilango...