Sitta amwaga radhi TBC1

sitta mali yote aliyo nayo kaitoa wapi.

nyumba ya spika milioni 10 kwa mwezi huyo anajua umaskini wa watanzania. tunadanganyana bure.

Sitta siyo spika Mama, alafu fafanua vizuri ueleweki una maana gani! au una maana ya kuwa CCM ni wezi wote? au hupendi mafisadi wakemewe? haupendi wakemewe na sitta? kwakweli mimi sijakuelewa hata kidogo!
 
Wana JF fuatilieni taarifa ya habari.

---------

Amesema ataendelea kupambana na ufisadi pamoja na nchi kuwa na rasilimali za kutosha wananchi bado ni masikini- inakuaje watu 43mil wanatikiswa na watu hawazidi 10 HAPA TANZANIA ANASEMA MWAKA 2011 ndiyo mwisho wao! Amewataka wananchi wasikubali

msisahau six alikuwa kwenye Mhimili wa serikali..anajua kila kitu kinachoendelea katika hii nchi..wezi wote anawajua na how wanavyotufilis...so naomba tumuunge mkono katika kupambana na hii mijizi regardless we ni cdm or ccm or mkatolik or muislamu.
 
Hivi Kikwete kama mwenyekiti wa CCM anayaona haya yanayoendelea? Kama mwenyekiti wa Chama alibariki kauli zilizotolewa na UVCCM? Kama alibariki basi upinzani ulioibuka huko UVCCM Moshi na sasa Tabora unalenga kumpiga yeye!!! Anao wajibu wa kukinusuru chama la sivyo kitamfia mikononi mwake kama hatacheza karata zake vizuri. Atafanya makosa makubwa ku-under rate nguvu ya Sumaye, Sitta na wengineo.

Matamko kupitia UVCCM, hayamsaidii kuondoa ufa ndani ya CCM bali unazidisha ufa kwani wenye akili wanajua what is going on!!!! JK achana na mafisadi unusuru chama ingawaje hao mafisadi ni marafiki zako wa karibu, fanya maamuzi magumu kwa uhai wa chama!!!!

Tiba
 
ng'wanangwa tafuta jukwaa halisi...

Sita abaki ccm mpaka wakati muafaka, unajuaje ataleta mabadiliko akiwa ndani ya ccm? Hatakama ana mpango wa kuhama abaki huko ili asome ramani zote akija kuobuka kuwashambulia anakua na uhakika wa data na hali halisi
wasi wasi wangu wanaofaidi ni wengi sio 10 tu....wapo wengi na yeye pia anafaidi.....labda kuna kuzidiana labda yeye hayumo katika 10 bora

na hawa spent force hata akitoka ama akigombea cdm basi ni yale yale...kwani nchii hii haina vijana wasomi wenye uwezo tukawatayarisha ?
 
Jamani kama sitta anawajua hao waujumu uchumi, kwanini tusimuunge mkono na kumuomba ushaidi wa jinsi hao watu wanavyoujumu uchumi ili kwa pamoja(wazalendo) takawashitaki hawa watu, lakini kama tunasubiri eti hadi uchaguzi huku tunaendelea kuibiwa me nazani ni uvivu wa kuchukua hatua wakati muafaka, jamani uchaguzi ni kwaajili ya kawaondoa viongozi wasiowajibika lakini kwa hawa wanaovunja sheria wanaitaji kushitakiwa.
 
..........JK achana na mafisadi unusuru chama ingawaje hao mafisadi ni marafiki zako wa karibu, fanya maamuzi magumu kwa uhai wa chama!!!!

Tiba

Kwanini mnapoteza muda? Kikwete hana jeuri ya maamuzi. Mtu kaongoza miaka zaidi ya mitano, we hujamfahamu tu? Kilaza unamsaidiaje?
 
Wana JF fuatilieni taarifa ya habari.

---------

Amesema ataendelea kupambana na ufisadi pamoja na nchi kuwa na rasilimali za kutosha wananchi bado ni masikini- inakuaje watu 43mil wanatikiswa na watu hawazidi 10 HAPA TANZANIA ANASEMA MWAKA 2011 ndiyo mwisho wao! Amewataka wananchi wasikubali
`

Angekuwa na uchungu na hali Za wananchi asingekuwa kinara wa 'manufaa' kwa Wabunge.
 
Amesema ataendelea kupambana na ufisadi pamoja na nchi kuwa na rasilimali za kutosha wananchi bado ni masikini- inakuaje watu 43mil wanatikiswa na watu hawazidi 10 HAPA TANZANIA ANASEMA MWAKA 2011 ndiyo mwisho wao!Wananchi tusikubali

Anapambana nao vipi? Anapambana na mafisadi kwa kutoa mafumbo? Get serious man. Wataje au sema unachokijua maana tunajua wewe ni mojawapo ya viongozi ambao wana CLASSIFIED INFO za serikali pamoja na chama chako. Kama kweli wewe ni mzalendo uliye na uchungu kwa nchi na wananchi wenzako, then toboa unachojua.....hatutaki mafumbo.
 
Well well well,............patakuwa hapakaliki hapa.......Mh Sitta Watch out!.................tik tak tik tak tik tak
 
Anapambana nao vipi? Anapambana na mafisadi kwa kutoa mafumbo? Get serious man. Wataje au sema unachokijua maana tunajua wewe ni mojawapo ya viongozi ambao wana CLASSIFIED INFO za serikali pamoja na chama chako. Kama kweli wewe ni mzalendo uliye na uchungu kwa nchi na wananchi wenzako, then toboa unachojua.....hatutaki mafumbo.

Kaka hawa wazee wanazeeka vibaya..thats all i can say.
 
hao watu 10 alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuwashughulikia alipokuwa spika lakini akaishia kuwachekea tu na kuwapapasa, sasa hivi yuko ndani ya cabineti hawezi kufanya lolote na ikitokea akahama ccm atadhoofisha sana upinzani. kwa kweli kama kuna mtu anapenda upinzani ustawi zaidi, aombe huyu mheshimiwa abaki hukohuko ccm
 
Kama kuna mwenyekiti wa chama wa ajabu hapa duniani badi basi sisiem imebahatika. Jamaa yupo kimyaaaaaaa, anajilia kuku kwa mrija wakati vijana na wazee wanasuguana.
 
Same story kila siku. Mara ivi mara vile. Endeleeni kusubiri kwa hamu kama mtaona chochote. Kikwete hana meno ya kumuua Sitta na Sitta hana ubavu wa kuondoka CCM. Huu ni mchezo tu wanafanya hapa.
 
CCM ilikufa na Nyerere; iliuwawa na Mkapa. Matatizo yanayoikumba sasa hivi wakati wa Kikwete ni matokeo hayo ya kufa zamani sasa inaanza kunuke. Watu wanoamlaumu Kikwete kwa kuiua CCM wanamuoenea tu kwani alibebeshwa marehemu CCM tangu awali. Kama CCM ingekuwa iko hai wakati wa Mkapa, basi Kikwete asingekuwa rais mwaka 2005.
 
Mbona mzee MENGI aliwataja na maovu yao lakini wananchi hawakuchukua hatua yoyote?nadhani hata maandamano ya kuunga mkono kauli yake walau ingetosha!matokeo yake mengi kapelekwa mahakamani hakuna wa kumsaidia
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom