Sitta amwaga radhi TBC1

Wana JF fuatilieni taarifa ya habari.

---------

Amesema ataendelea kupambana na ufisadi pamoja na nchi kuwa na rasilimali za kutosha wananchi bado ni masikini- inakuaje watu 43mil wanatikiswa na watu hawazidi 10 HAPA TANZANIA ANASEMA MWAKA 2011 ndiyo mwisho wao! Amewataka wananchi wasikubali
Alikuwa mkurugenzi wa Tanzania Investment Centre,IPTL...etc. zote zilibarikiwa nae!!...be careful guys!
 
tumechoka na wanaojiita wapambanaji na ufisadi, kabla yeyote hajachangia ni vema angetuambia je yeye ni msafi kiasigani? tangu akiwa waziri wa ujenzi, mkuu wa cda, mkuu wa TIC nk. na je anamiliki nini na anafanya biashara gani? WATANZANIA TUZUNDUKE, TUTAKUWA TUNATUPIWA CHANGA LA MACHO KILA KUKUCHA KWA KUPENDA KUSIKIA KILE TUNACHOTAKA KUSIKIA
 
Huyu jamaa ni kama vile mpinzani, nadhani JK alikosea kumpa uwaziri maana saizi amejenga ufa mkubwa sana ndani ya chama kutokana na tabia yake na tabia imeambukiza wengine hivyo kuongeza hali tete kwa CCM, wakati huo CDM wakikenua meno.

Huwa sina tabia ya kutukana lakini wewe nimeshindwa kujizuia.......$%%%%%%%%%%%%"""2&&&&&&&777
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom