Fungu la kukosa!. Huku kutapatapa ni dalili ya mfa maji.
P.
Huyu si mfa maji tena bali tayari ni maiti aliye kufa kwa maji.hana lake tena huko anakowakilisha nchi kama waziri wamwmkataa mpaka rais wetu analalamika hajujui kwanini anatengwa kumbe tatizo ni huyu bwana hana uwakilishi mzuri yeye anamwaza lowasa tu kazi unayo ndugu.