mheshimiwa sita we hufai pia kuwa rais,maana unamajungu na ubinafsi!,kwa nn kila siku unamwandama lowasa!??ama unamapungufu??kwa nn usieleze mambi yako??,afu kwenye mialiko ya graduu,ndo majukwaa ya kujibizana siasa??,kwa nn usiite waandishi ukawaambia??,nani alikwambia pale wanataka kuja tofauti zrnu??
Acha kutapatapa,HAKUNA JIWE AMBALO HALITAFUNULIWA.waache watoto waujue ukweli na hao ndio wapiga kura 2015,haiwezekani mtu ahangaike huko na huko kuunua urais wa nchi hii na aachwe tu.IKULU NI MAHALI PATAKATIFU NA SI PANGO LA WEZI,MAFISADI,WAUZA UNGA NA WANYANG'ANYI.