Ninyi ccm malizaneni tu wenyewe kwa wenyewe hukumu yenu yaja.sisi raia tunawasubiria tu hapo 2015 ndio tutajua mbivu na mbichi.usimlaumu Sitta kwa kusema ukweli tupu tena wa wazi kabisa.na sitta mwenyewe naye haaminiki maana ni walewale zaidi tu alitumika na JK kama mpira wa kiume na kuwa dumped na ndio hasira aliyonayo ila hana jipya naye.sita hana jpya njaa na ulafi wa madaraka unamsumbua tunajua Sitta ndiye ana engneer mkakati wa kumchafua kapuya kisa kapuya kumpeleka lowasa tabora na kukabidhiwa uchief wa wanyamwez sta akaona amezdiwa kete...anasema lowasa katumia bilioni 7...lowasa kwa sku kuptia hisa zake Vodacom anaingza bilioni 1.2 kwa hyo blion 7 ni pesa ya sku 6 ufsad upo wap tatzo sta anajua kutembea na wake za watu tu ameshndwa kutafta pesa kaishia kulalamika. ..shame n u sta acha unafk
SALOME SCHAWALE; Angalau sita ameanza kuona Ukweli mchungu kuwa Mwanamume wa Shoka anapewa Mamlaka.Kamshindwa Rais Mteule na Mtemi wa Unyanyembe Mh.Lowassa sasa kageukia kuwa Mfadhili wa Harambee za Malaya kumchafua ProfessorJuma Kapuya, Sitta kachanganyikiwa Tangu JK alipomhadaa kumpa u PM, Kama Serikali haiperform yeye anasubiri nini huko Serikalini, Kwa nini sita hazungumzii ulegelege wa Serikali kwa PCCB kumuacha mkewe 2010 wakati alikutwa Red Handed na Bahasha 117 za kugawia wajumbe ili apitishwe Ubunge wa Viti Maalum,
sita hana jpya njaa na ulafi wa madaraka unamsumbua tunajua Sitta ndiye ana engneer mkakati wa kumchafua kapuya kisa kapuya kumpeleka lowasa tabora na kukabidhiwa uchief wa wanyamwez sta akaona amezdiwa kete...anasema lowasa katumia bilioni 7...lowasa kwa sku kuptia hisa zake Vodacom anaingza bilioni 1.2 kwa hyo blion 7 ni pesa ya sku 6 ufsad upo wap tatzo sta anajua kutembea na wake za watu tu ameshndwa kutafta pesa kaishia kulalamika. ..shame n u sta acha unafk

ma presdent is lowasa 2015 anayemfkria mwngne ndoto za mchana hizo...chungu kumeza bt inabidi umezeEYOMA ;kwahiyo we uko upande upi maana mpaka hisa wazijua
ukweli ndio huo si mlishazoeshwa siasa majitaka na kina sta ndio maaana wengi mmeshangaa forbes kumtaja rostam kama tajri namba moja tanzania sasa wewe ulishazoeshwa kuambiwa na kna sta kuwa rostam ni fsad whle amewekeza kwenye mitambo ya madini..mawasiliano..etc bt cz mnapenda zaid kuskia propaganda ndio maana unashangaampanzi;nyie ndo watu muhongo anawaita wavivu wa kufikiri, bilioni 1.2 kwa siku, kwa mwezi bilioni 36, kwa mwaka bilioni 432, duh
Mkuu Mtoboasiri, wala huko kwa kushitakiana mpaka kwa Mungu, hatutafika!, kila siku nasema humu jf, tena natambulika rasmi kama mfuasi No.1 wa EL, nasema hivi, EL ni "sauti tuu iliyo nyikani ikiyanyoosha mapito yake yeye yuajaye!".
Mwanzo hata mimi nilimtaka EL apitishwe ili atumike kama "pace maker" kwenye mbio za kuelekea Ikulu, 2015!. Kufuatia hali ya afya yake, nikajiridhisha, kumbe hata huko ndani ya CCM, yeye "sauti tuu iliyo nyikani!".
Pasco.
Pasco
Slaa aliwahi kumwita Mnafiki.Si mkweli na ana ndimi mbili.
sita hana jpya njaa na ulafi wa madaraka unamsumbua tunajua Sitta ndiye ana engneer mkakati wa kumchafua kapuya kisa kapuya kumpeleka lowasa tabora na kukabidhiwa uchief wa wanyamwez sta akaona amezdiwa kete...anasema lowasa katumia bilioni 7...lowasa kwa sku kuptia hisa zake Vodacom anaingza bilioni 1.2 kwa hyo blion 7 ni pesa ya sku 6 ufsad upo wap tatzo sta anajua kutembea na wake za watu tu ameshndwa kutafta pesa kaishia kulalamika. ..shame n u sta acha unafk
Sipati picha Lowasa akichukua hii nchi itakuwaje, maana anawekeza vya kutosha