Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

Lowassa hatagombea atakachokifanya ni kumuunga mkono Maghufuli kisiri siri ...kuwania urais.
 
Mnaweza kuta hata instigator wa sakata la Ka puuya kubaka ni huyu huyu, si alifanya fitna mamvi akapewa uchifu wa wanyamwezi.
 
Mkuu kitendo cha mzee Sitta kutetea haki za watoto wanaobakwa na kuambukizwa UKIMWI sio fungu la kukosa. I believe you are better than this...
Mkuu Ulukolo, huyu ni mwanasheria aliyebobea!, alipounda tume ya Mwakyembe na kumjua mwenye mizogo halisi ya Richmond ila kwa ajili ya U-PM wakaamua kumtishwa mtu baki, ili kumuengua kwenye serious contenders wa 2015!, na sasa anaona kasi ilivyo, huku ni kupiga tuu makelele!.

Utetezi kwa wanaobakwa na kuambukizwa ukimwi kwa kutegemea hearsay tuu bila facts, nazo pia ni kelele tuu!.

Hili la kuamini I better than this!, ti be honest I worse than this nikiamua kufunguka!.
Kuna waheshimiwa tunawastahi sana!, tukileta madudu yao mezani!, hawana pa kuziweka sura zao!.
Pasco.
 
Ngoma ikivuma sana hupasuka. Endeleeni kushadadia watu walotuingiza kwenye mikataba feki mpaka leo uchumi wa taifa ni sawa na mgonjwa mwenye homa kali. Watanzania tunafuata mikumbo, Lowasa hatufai kabisaa hata ajisafishe vipi. Nadhani kwa wale wenye uwezo wa kufikiri watakubaliana nami ila kwa vichwa maji mtasubiri sana
 
Eee Mungu, naomba nguvu yako iishinde ya shetani mwaka 2015 ili kulinusuru taifa hili linalofananishwa na dem malaya ambaye haogopi kupigwa mtungo kisa anagawa umeme
 
tb joshua alimwabia lowasa rudisha pesa za wananchi ulizoiba kwa njia moja au nyingine ilo uweze kuuona japo geti la mbingu

U a ryt
Halafu wanakuja kuwadanganya watu huku eti kutabiriwa kuwa raisi kwi kwi kwi
Uzuri nilishakuwepo eneo la tukio acha waendelee kujazana ujinga.

Tena wakome kumlisha maneno TB JOSHUA
 
Eee Mungu, naomba nguvu yako iishinde ya shetani mwaka 2015 ili kulinusuru taifa hili linalofananishwa na dem malaya ambaye haogopi kupigwa mtungo kisa anagawa umeme

Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka jamani.
Khaaaaa
Mungu tusaidie
 

Lowassa kwa kuwa alitabiriwa na TB Joshua kuwa ndiye atakaye kuwa Rais wa Tanzania 2015 anajiamini hivyo hata maneno ya Sitta nadhani yanapenya kutoka upande mmoja wa sikio na kutokea upande wa pili wa sikio la pili. Mungu hutoa lakini Mungu huyo huyo hutwaa anayedhani amesimama aangalie asije akaanguka, Lowassa do you get me?

Taarifa mkuu bubu Msemaovyo
TB JOSHUA hajawahi kumtabiria el kuwa ndo raisi ajae.
Btw Tb joshua sio mtabiri ni nabii
Msimlishe maneno jamani
Mwambieni awambiwe alichoambiwa.
 
Hakuna tofauti yoyote kati ya LOWASA na Sitta. wote ni wale wale wasaka madaraka, wote ni wale wale wanashinda wanachangisha harambee
Pengine tuu Sitta amezidiwa nguvu na mbinu
 
Sitta nae walewale tu kasoro majina

Km Mungu huyu yupo na anatusikia basi tutafutana hapa jf baada ya uchaguzi
 
Kuna Watanzania wanaamini eti Lowasa anaweza kuwa Rais mzuri kwa sababu ya zile Command zake. Hawajui kwamba shetani hamfukuzi shetani mwenzie, maana yake ni: Lowasa hana uwezo wa kunyooshea wezi vidole kwa sababu na yeye ni mwizi. Hao wanaomuunga Lowasa mkono mimi nawaita WAPUMBAVU
 
Ama kweli ninaona jinsi watu walivyoshikiwa vichwa hawawezi hata kujinyoosha. Hiv huyo SITTA anaemkandia LOWASA mbona hajatuambia yeye na mkewe wameiba kiasi gan? Ama kweli waswahili walisema nyani haon kundule! Na iweje uache kufanya yanayokuhusu ukae kumchimbachimba LOWASA wewe SITTA?
 
Hivi kweli hujui kusoma na kuangalia picha? Kama SITTA anafikiri tutampa nchi amefulia tena anaota ndoto anazota maiti kamwe haziwezi kutimia!
 
Hivi kakende uko ulimwengu gani wewe! Unafikiri sis watanzania tunadanganywa na hizo siasa zako za majungu. Ukweli tunaujua na mbinu zote zilizofanywa na huyu baba yenu ili tu kumuondoa LOWASA kwenye uwaziri mkuu! Kama unafikiri wezi halisi hatuwajui bas umechemka! Na kwa taarifa yako tunampa LOWASA NCHI 2015!
 
Back
Top Bottom