Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

Sitta Amvaa Kapuya, Lowassa

sita hana jpya njaa na ulafi wa madaraka unamsumbua tunajua Sitta ndiye ana engneer mkakati wa kumchafua kapuya kisa kapuya kumpeleka lowasa tabora na kukabidhiwa uchief wa wanyamwez sta akaona amezdiwa kete...anasema lowasa katumia bilioni 7...lowasa kwa sku kuptia hisa zake Vodacom anaingza bilioni 1.2 kwa hyo blion 7 ni pesa ya sku 6 ufsad upo wap tatzo sta anajua kutembea na wake za watu tu ameshndwa kutafta pesa kaishia kulalamika. ..shame n u sta acha unafk

Kwa Siku 1.2 Bil kwa Mwaka ni 438 BIL Ndugu hii Hela hata TRA hawapati kwa Mwaka kwenye makampuni yote ya Kodi, alafu kama VODA tu anapata hizi kwa Mwaka Mbona hayupo kwenye Matajiri wa NJII HII.
 
...mzee Lowassa ange achana na mambo ya siasa, akashikilia ujasiliamali kama rafiki yake Rostam Azizi (mpigaji mwenzake), taifa hili wamelinyonya sana toka enzi za mzee Mwinyi, na bado hajaridhika!
...kajilimbikizia viwanja kila mkoa, vitaru huko mbungani n.k!
 
Sipati picha Lowasa akichukua hii nchi itakuwaje, maana anawekeza vya kutosha

....itakuwa hivi;
kp24072013.jpg

..kp16072013+(1).jpg

3707d8f2be163bd14c78cf07586f13bb_L.jpg

398a8bc2e3f7f879ff0986359513be80_M.jpg

13f34e2b533e12c6166f88368dcd8c07_M.jpg

kp30072013.jpg

kp02082013.jpg

=
kp06082013.jpg

=
kp23082013.jpg
 
Lowasa Jembe la majambazi kwa miaka ishirini amekuwa akitamba vyombo vvya habari kutumia pesa kufunika kila aina ya uozo wake amekwenda makanisani kujidai anashuhudua ufalme wa Mungu ukweli Mungu amemuweka ili aweze kushuhudia nchi wakikabidhiwa watu ambao wananchi wanaamini watasimamisha kila aina ya hujuma ya wizi,utapeli,ulaghai,ulanguzi na unyonyaji wa jasho la wananchi wote tuseme CCM bye bye
 
Hii nchi itakuwa salama kweli,Rais Lowesar na P.M Kapuyer?kama tamthlia vile

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Bora wapewe wapinzan kulko kuwapa UKOO WA PANYA,MAANA VIZAZ VYOTE WEZI TU.Mungu tuepushe na Mdudu panya.
 
Watanzania wengi tulivyo wavivu wa kufikiri na kusumbuliwa na njaa tuko tayari kuuza BIRTHRIGHTS zetu na kuyachagua MAJAMBAZI kutuongoza. Huhitaji kujua ya kwamba mtu anayenunua uongozi cheo chake atakifanya biashara. Tujiandae kuiweka nchi rehani!
 
Sitta hana ukweli wowote ni mnafiki mkubwa sana wabongo tunatakiwa tumuogope sana.Amejaribu kila njia kupata madaraka makubwa ameshindwa ila mwaka 2015 presha itammaliza maana hataamini macho yake maana ndoto zake na washirika wake za kwenda Ikulu mmoja wao hazitafanikiwa.
 
Usiwe juha hii nchi siyo ya Lowassa ni watanzania. Hivi hayo mabilioni anayotoa na "Marafiki" zake ni kwa sababu ya upendo kwa watanzania kweli? Tujiandae kuzilipa kwa gharama kubwa!
 
Akisimama Lowassa anaongelea mambo ambayo ameyafanya au ambayo tunatakiwa kuyafanya ili tupate maendeleo. Lakini Sitta bana akipanda jukwaani yeye kuwasema wenzake tu! Kwanini asituambie ni yepi makubwa ameyafanya nchi hii ili tumpime kama anafaa. Kama hana ambalo ameshafanya he should better keep quiet!
 
Pasco, kama kweli wewe ni Mtanzania na unaipenda nchi hii utaomba Lowassa asiwe rais wa nchi hii hata dakika moja. Lakini kama Mwalimu alivyosema "serikali hii (ya kikoloni) isipotusikiliza tutaishitaki kwa malkia, nae asipotusikiliza tutaishitaki Umoja wa Mataifa. Wasipotusikiliza tutashitaki kwa MUNGU".

Lowassa akipata urais Watanzania tutashitaki kwa MUNGU!
kosa la lowasa ni kushare utajiri wake na wananchi?.

Si wamesema katiba inaenda kuziba mianya ya rushwa au wizi na madaraka ya rais yatapungua kwamaana ya maamuzi mengi kupitia bungeni hivyo uwezekano wa mikataba mibovu haitakuwepo.
 
sita hana jpya njaa na ulafi wa madaraka unamsumbua tunajua Sitta ndiye ana engneer mkakati wa kumchafua kapuya kisa kapuya kumpeleka lowasa tabora na kukabidhiwa uchief wa wanyamwez sta akaona amezdiwa kete...anasema lowasa katumia bilioni 7...lowasa kwa sku kuptia hisa zake Vodacom anaingza bilioni 1.2 kwa hyo blion 7 ni pesa ya sku 6 ufsad upo wap tatzo sta anajua kutembea na wake za watu tu ameshndwa kutafta pesa kaishia kulalamika. ..shame n u sta acha unafk

punguza propaganda dogo,six hapo kasema ukweli mtupu
 
Pasco, kama kweli wewe ni Mtanzania na unaipenda nchi hii utaomba Lowassa asiwe rais wa nchi hii hata dakika moja. Lakini kama Mwalimu alivyosema "serikali hii (ya kikoloni) isipotusikiliza tutaishitaki kwa malkia, nae asipotusikiliza tutaishitaki Umoja wa Mataifa. Wasipotusikiliza tutashitaki kwa MUNGU".

Lowassa akipata urais Watanzania tutashitaki kwa MUNGU!

nafuatilia maandiko ya huyu jamaa anayeitwa pasco , nimejiridhisha kwamba LOWASA AKIKOSA URAISI ( kama inavyotarajiwa ) , ATAJINYONGA .
 
Back
Top Bottom