katoa mfano wa Gadafi kushirikiana na watoto wake kufja mali za umma kama kutumia ndege za serikali hovyo na kwenda nazo kucheza kamali ulaya. Je haya yapo kwetu kweli - ni relevant hili nalo?
Hongera Waziri Sitta. Ulipokuwa spika ulifanya kazi iliyotukuka, na sasa unaendelea na kazi yako njema. Nakuombea ww na Magreth afya njema na maisha marefu. Ww ni shujaa wangu.
Katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV, Sitta kapendekeza watu kupima na kuwajibika kwa maswala ya Dowans. Anasema siku hizi watu hawawajibiki hata wakiharibu. He meant Ngeleja ingawa hakumtaja jina
Bila shaka we ndio mnafiki, Sitta ndio kiongozi pekee ndani ya CCM anaeweza kukemea ufisadi ndani ya chama chake hadharani na kwa uwazi zaidi. unafiki wake ni nini? hata kama yuko katika chama ambacho kimepoteza mvuto, nadhani tumtendee haki.
CCM wenyewe walitaja kwa majina na kuwataka wavue magamba, DR wa ukweli Slaa alitaja kwa uwazi, Mzee Mengi alitaja kwa uhakika, hata CCM B waliwataja. sasa we unataka kusikia nani zaidi? Mi nitamuunga mkono yeyote anaepinga ufisadi kwa nguvu zake zote, ndio maana nawakubali CDM
Big-up kumbe na wewe ushamsoma, yy na mwakyembe hovyooo "wanafiki" na unafiki huu ulianza baada ya kunywa zile aspirini za mamilioni alipokuwa bado spika.....