Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,557
- 88,561
Sasa si ndo mnawatakaga hao ili muwe mnapewa mzigo kila siku bila usumbufu? Oa huyo huyo tuKila kitu kikizidi kinaweza geuka sumu, mie hako kamchezo nakapenda, ila kwa huyu binti inaonekana ana ugwadu sio wa sayari hii...mtt anapenda bilinganya utafikiri ni basic need katika maisha yake.