Sitorudia tena kumwambia mwanamke ntamuoa mapema mapema.

Sitorudia tena kumwambia mwanamke ntamuoa mapema mapema.

Mkuu naomba namba yake pls huyu sio saizi yako nadhani tunawezana na mimi huyu
Kila kitu kikizidi kinaweza geuka sumu, mie hako kamchezo nakapenda, ila kwa huyu binti inaonekana ana ugwadu sio wa sayari hii...mtt anapenda bilinganya utafikiri ni basic need katika maisha yake.
 
Tatizo umewahi sana kumtoa minyoo, ona sasa ana hamu ya kula kupitiliza...
 
Wakati wengine wanatamani nafasi kama hizo wengine wanakerekaa...!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamnaga shukrani sijui kwanini

Bahati haipogo mara mbili
 
Jirushe tu love..utatuchelewesha tunapokwenda
Hivi hizi hadithi za kugegedana hovyo zimekuwa ni sifa siku hizi? Dunia simama nishuke nauli nimeshalipa.
 
Back
Top Bottom