Daktari wa minyoo
Senior Member
- May 15, 2019
- 117
- 115
- Thread starter
- #21
Kabisaa we si ulikimbia umande.Daa kumbe shule zimefungwa sasa duuuuu
Kabisaa we si ulikimbia umande.Daa kumbe shule zimefungwa sasa duuuuu
Ningekutumia sema nahisi utakua mbali sana na pande hizi.Aiseee...ghafla umekuwa hapendeki
kama vipi nitumie namba zake,maana huyo hakufai
atanifaa haswaa maana nami ni full mgegedo,dozi 2×3
Hizi mambo zipo enzi na enzi sio vitu vipya kabisa, kwanza kuzungumzia kuhusu kujamiiana kuna tupa upeo mkubwa kuhusiana na hilo jambo na kuepuka magonjwa mbalimbali ya zinaa haswaa.Hivi hizi hadithi za kugegedana hovyo zimekuwa ni sifa siku hizi? Dunia simama nishuke nauli nimeshalipa.
Anakuwa msumbufu sana dada angu, sababu yeye naona anapenda kale kamchezo mpaka inakuwa kero ss, em fikiria umuoe binti kama huyu afu usafiri hata wiki moja tu, tuseme umwache labda na binamu yako wa kiume kwa spidi hiyo lazima tu atatafunwa sn tu, sasa naona nichukue hatua mapema.Hukumpenda,haiingii akilini mtu umpendae awe usumbufu kukuona,,,,ulimtaka kujifunzia ngono...si ungenyakua dada poa tuu,,,kuliko kumdanganya dada wa watu ambae ame INVEST feelings kwako...
Kama hautojali naomba nitumie namba zake PM mkuu.Anakuwa msumbufu sana dada angu, sababu yeye naona anapenda kale kamchezo mpaka inakuwa kero ss, em fikiria umuoe binti kama huyu afu usafiri hata wiki moja tu, tuseme umwache labda na binamu yako wa kiume kwa spidi hiyo lazima tu atatafunwa sn tu, sasa naona nichukue hatua mapema.
Nimesema kugegedana hovyo wanaume mnaona kama ni sifa fulani hivi ukionekana umegegeda wanawake wengiHizi mambo zipo enzi na enzi sio vitu vipya kabisa, kwanza kuzungumzia kuhusu kujamiiana kuna tupa upeo mkubwa kuhusiana na hilo jambo na kuepuka magonjwa mbalimbali ya zinaa haswaa.
Wewe kwaiyo ni shoga?Mimi binafsi naikubali sana character yangu ya kuwa slow learner plus uzito mwingi ongezea na unyoka wa kibisa
Inasaidia kuniepusha na Mengi sana
Anakuwa msumbufu sana dada angu, sababu yeye naona anapenda kale kamchezo mpaka inakuwa kero ss, em fikiria umuoe binti kama huyu afu usafiri hata wiki moja tu, tuseme umwache labda na binamu yako wa kiume kwa spidi hiyo lazima tu atatafunwa sn tu, sasa naona nichukue hatua mapema.
Mimi mpaka sasa sioni tatizo hapo.
Hivi kumbe kuna wanaume wenzangu pia hamjui mnachokitaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nauza chai, jumla na reja reja!
Mikoani natuma...!!
Umeonaee angemsumbua bila kumpa papuchi angeleta uzi wa kuomba ushaur kwa Nini anamsumbua kukubali ombi lakeHatuna mema sisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Human beings
Mbona hizo bahati zinawaangukia nyie mapopoma tu,sisi wengine mageto yetu yanaogopeka kama kituo cha polisiHabarini wanaforum wenzungu.
Kwakweli tabibu nimejikuta napata wakati mgumu sana kushughulika na huyu binti kwani usumbufu ninaoupata ni wa hali ya juu sasa takribani wiki sasa.
Ilianza hivii.....
Wiki kama mbili zilizopita mbobezi katika tiba za minyoo nilikua nimetulia zangu mitaa flani hv na mwana tunapiga stori mbili tatu, mda ukapita wakatokea warembo wawili hv wakajimix ile sehem tulipokuwa tumechill. Sasa kuna mmoja akawa amenigusa sana.
Ile tunaamsha na soja wangu nikajipitisha karibia na ile meza walipokuwa wamestay nikajitambulisha [tabasamu kubwa usoni] na nikamuomba namba moja kwa moja, kwakweli kutokana na muonekano wangu ilichukua takribani 90 sekunde tayari namba ya yule mrembo ikasomeka kwny screen ya simu yangu.
Nilibahatika kuwasiliana na yule mrembo akawa dizaini amenielewa pia,
Kosa kubwa nililolifanya ni kumtamkia mapema kuwa ningependa awe mchumba wangu na ikiwezekana mke wangu. Sababu zikiwa kabila lake, dini yake pamoja future yake ipo bright sana bila kusahau mafurushi.
Takribani siku nne zikapiata tukaona sio mbaya tutest mitambo kidogo, Mwanzoni niliinjoy sana lakn kwakweli huyu mwanamke anaonekana ni mbobezi sana yani niliufukunyua mpaka nikasanda mwnyw, kesho yake akataka aulete tena nikamwambia nipo bize, akauleta tena kesho kutwa yake nikadili nao tena nikaona ss inetosha.
Kwakweli spidi ya huyu binti imenichosha mbaya yani yeye kila akipiga simu au akituma sms yani unaona anakuwa na lengo la kuja mageto tu mara amenimiss, mara anataka kuona tabasam langu mara anataka kuja tuchek movie wote.
Kwakweli naona anatumia nguvu nyingi sana kuni-impress.
Na mm naona kama nimemchoka ndani ya muda mfupi na mawazo kama yamebadilika hivi ghafla.
Kila kitu kikizidi kinaweza geuka sumu, mie hako kamchezo nakapenda, ila kwa huyu binti inaonekana ana ugwadu sio wa sayari hii...mtt anapenda bilinganya utafikiri ni basic need katika maisha yake.Yaani wanaume bwana mwanamke asipoupenda huo mchezo lawama akiupenda pia lawama mimi ndo maana nasemaga wanawake siku hizi tusihangaike na wanaume eti kuwapa mnachotaka maana hata nyie hamjui mnataka nini yaani tufanye tu vile tunavyojisikia mkituacha haya msipotuacha haya
Na ww umethibitisha hilo ee hamjui mnataka nnMimi mpaka sasa sioni tatizo hapo.
Hivi kumbe kuna wanaume wenzangu pia hamjui mnachokitaka?