Sitopenda tena

Sitopenda tena

mengne nime fail bt lakutopenda tena cdhan kama ntalipuuza bt nami ntakuwa natan tu kama mlivyo wengi....
 
Unafikiri kujiua ni kazi rahic?
Jaribu uone.
 
mawaza mgando hayo kwn ulizaliwa nae? Ukijifunza kupenda jifunze na kuchukia.
 
Safari moja huanzisha nyingine, tambua mapenzi ya siku hizi ndivyo yalivyo yanaongozwa na tamaa za mwili na vitu. Tafuta mwingine lakini ukumbuke kilichokupata kukichukulia kama experience

Mapenzi kiti cha basi eti?
 
Usiamue hivo kaka. Wanaume ni wachache kuliko wanawake duniani.
Sasa ikiwa wengine mtaamua msipende tena sisi tutapendwa na nani?
Please, please, please consider you decision, kwa kutuonea huruma sisi.

mkaribishe awe wako kiujumla.......vinginevyo hueleweki............
 
Pole Mwaya najua fika adha ya kumpenda mpenzi asiyejua thamani ya kupedwa. Omba mungu akupe moyo wa uvumilivu uweze kumsahau japo siku za kwanza inauma sana. Jamani mapenzi yanauma bora upigwe kwa fimbo kuliko kwa mapenzi. Pole, mungu akupe uvumilivu.
 
Usiamue hivo kaka. Wanaume ni wachache kuliko wanawake duniani.
Sasa ikiwa wengine mtaamua msipende tena sisi tutapendwa na nani?
Please, please, please consider you decision, kwa kutuonea huruma sisi.

wanaume kuwa wachache kuliko wanawake impacts zake ni zipi?
 
wanaume kuwa wachache kuliko wanawake impacts zake ni zipi?
Mi nilijisemea tu, I was in a terrible mood that day!
It was ironic, satyric.
Sasa yeye alitaka tumwambieje? lol
 
Mi nilijisemea tu, I was in a terrible mood that day!
It was ironic, satyric.
Sasa yeye alitaka tumwambieje? lol

hahahahaha! Poa, na leo upo lindo la night eeh?
 
Poleeee. Stress za nini cousin wangu? nani anakupa stress?
Tema hapa nimchape (it is symbolic, usiteme kohozi) lol

hahahaha! Hiyo mabano imenivunja mbavu.(nikimaliza kucheka nitakutajia).
 
hahahaha! Hiyo mabano imenivunja mbavu.(nikimaliza kucheka nitakutajia).
Kuna watu wengine hawana dini nakwambia!
we unaongea kwa lugha ya mifano yeye anachukulia literally!
 
Utapenda tu.. Haya mambo hayana formula. It may take time lakini utajitosa tena mwenyewe sema tu next time uwe careful before u commit yourself to someone. Kujiua unajikomoa mwenyewe watu watasikitika for two or three days after thats its all gone..while you're GONE FOREVER!
 
Back
Top Bottom