Sitopenda tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitopenda tena

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rjohn, Feb 29, 2012.

 1. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  kama ntafanya hvo basi naamin itanchukua muda
  niliyempenda et kaamua kunisalit kwa RAFIKI YANGU wakaribu kabisa kisa VIJISENT
  naomben ushauri nihame mji au nijiue 2 ila sipend hata kidogo kuwaona hawa mafedhuri
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hmmm...suspiciously convenient.
   
 3. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  cheka sana lakn omba yasikukute
   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Usiamue hivo kaka. Wanaume ni wachache kuliko wanawake duniani.
  Sasa ikiwa wengine mtaamua msipende tena sisi tutapendwa na nani?
  Please, please, please consider you decision, kwa kutuonea huruma sisi.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Maamuzi ya busara...kila la kheri!!
   
 6. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  hv mabint hamjijui kama mnatabia isiyo yakawaida(wengi wenu)......
   
 7. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tunajua, lakini ni udhaifu wa wanawake tu, tuliumbwa hivo.
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,273
  Likes Received: 3,005
  Trophy Points: 280
  Ufinyu wa mawazo kufikiria kujiua kwa ajili ya mapenzi..tna kwa mtu ambae ht hajui thaman yako. Piga moyo konde..safari bdo ndefu yenye miiba na mabonde..ucwaze kujiua ht km amekusaliti..get yourself time to get busy and concentrate on your life achievement.
   
 9. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Yeye ameona kukataa kupenda tena ndio anakomesha watu.
  Nimejipa kazi ya kumbembeleza hapa. hahahahaha
   
 10. obi's

  obi's JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Don't do that bro!
   
 11. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mwali.....endelea kumbembeleza mi ntarudi baadae!
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Unaenda wapi nikufate? maana naona jamaa hata hanisomi!
   
 13. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,570
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Ndg, kumbuka dhima ya Mungu kukuumba!Amin kisicho riziki hakiliki!Amini pia, unaweza mpata mpz m'mke mwngne ukampenda akakpenda ukasahau yte,ucjiue kk japo najua umeumia ndo mfumo wa lyf!Stil zere's anaza 2nd n golden chance 4 u,1 day 2 God=1000 n vicvesa!
   
 14. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  nimewaelewa wajumbe hata msimamo wangu umetoweka ghafla tatzo nilimzoea mno hata masaa matatu hayapt bla mi na yeye kuonana/kuwasiliana sasa nifanyeje nimsahau kabisa
   
 15. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #15
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Safari moja huanzisha nyingine, tambua mapenzi ya siku hizi ndivyo yalivyo yanaongozwa na tamaa za mwili na vitu. Tafuta mwingine lakini ukumbuke kilichokupata kukichukulia kama experience
   
 16. Rjohn

  Rjohn JF-Expert Member

  #16
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 599
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  sio leo wala kesho
  itabid niendelee kuwepo wepo kwa muda kdogo
   
 17. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Sasa ukiondoka wewe jamaa atabembelezwa na nani jamani?? Jitahidi tu hivohivo........mi naenda lindoni, si unajua kazi zetu hizi za upongo a.k.a KKK Security??
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Jiue .. hakikisha unabana mlango kwa ndani ili usisaidiwe ..

  Maana hata ukihama mji bado utawasikia ..

  Umetupa option mbili za kukuchagulia.
  Na mimi nimekuchagulia moja kati ya hizo mbili
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wala usijali mpendwa wangu! Hayo yote ni mapito tu na ni njia halisi ya kuingia upenzini.......jipe muda, na uipe akili yako nafasi ya kutafakari vya muhimu zaidi! Usijiapize saana kwa jambo ambalo sio issue kwa uafueni wako kwa sasa.....just accept the reality and then move on, pole mwaya!!!! Hata kama umeumia vipi my dear, maisha lazima yaendelee!! May all the best be with you....
   
 20. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bado upo au umededi? Kama umededi kawasalimie wenzio ambao hawajui maana ya mapenzi. Kama bado upo nipm nikushauri
   
Loading...