Sitopenda tena

Usiamue hivo kaka. Wanaume ni wachache kuliko wanawake duniani.
Sasa ikiwa wengine mtaamua msipende tena sisi tutapendwa na nani?
Please, please, please consider you decision, kwa kutuonea huruma sisi.

usihofu mimi nipo. I will be a serial polygamist.
 
Acha wivu wa kijinga wenzio wanajiua kwaajiri ya mali(mshiko)co mapenz au ndo mara yako ya kwanza kupenda?
 
Punguza hasira............look at the bright side........Mungu kaamua kukuondolea mtu asiyekufaa naasiye wa thamani kwako.........so tuliza ball kijana ....YOURS is on the way just be patient!
 
usijiuwe ndugu,umechoka masoseji,baga,maji ya dhahabu,mbuzi katoriki na chips mayai tena ya kienyeji,umechoka kuangalia ata mataa ya ubungo ata Dr.slaa akitoa sera au au skendo kama za Diamond na wema? Kumbuka ndugu yangu hacha kujiua utakosa uhondo.
 
Hiyo mbona bado kabisa ndo unapewa welcome to the real world dreamer! Now-wakati ndo uko kwenye hii dunia ambayo ndo umeingia ss, tambua they will skin ur heart as u make your y to the perfect1 for u (kama hutaabstain hadi umpate).
 
yote sahi mlionishauri bt kupotezea ni ushaur sahih zaid ya walionshaur kujiua
 
Shukuru Mungu huenda angekuwa anatembea nje akiwa tayari ni mkeo ndo ingekuwa balaa,lakini maadam yamejitokeza mapema umeonyeshwa jinsi alivyo,anza upya suala la kumzoea si kubwa muda unavyokwenda utamsahau tu na utapata mtu mwingine ambaye ni wako huyo hakuwa wako.
 
njoo nikukorongee sumu.....[tafutaa na weweee kisu kikaliii,then tafutaaa mtoto mkali kushinda huyo alie kuchujaaa utaonaa mwenyeweee]AS LONG AS WE'RE LIVING,WE CAN'T STOP LOVING
 
yaani yeye aponde raha wewe ufe kwa ajili yake! mapenzi yenyewe ya kuigiza haya ndo yakuto roho! usife bwana maisha yenyewe siku hizi ni mafupi! loh!
 
nimekuja na daftari la rambi rambi
eti, rjohn, unataka tupike pilau au wali wa maji?

Chagua na mrithi kabisa.

On a serious note: una miaka mingapi?
 
Maamuzi ya busara...kila la kheri!!

Lizzy kiukweli jamaa yupo katika msongo mkali wa mawazo baada ya kusalitiwa na aliyempenda. Tumpe moyo kwa kumjibu na kumshauri vizuri na siyo majibu dry kama lako.

Lizzy amini wapo watu ambao hawana moyo wa kuhimili mikimiki katika mapenzi zaidi ya kulia kutwa nzima au kukimbilia kutaka kujiua.
 
Mi naona jiue tu! Kisha fanya utafiti kwa muda halafu urudi hapa jamvini utujuze kama ulimkomoa mtu au ulijikomoa mwenyewe....
 
Wewe Rjohn, watu waliacha na wakaachana na maisha bado yanaendelea, eti wewe unataka ujiue, kisa mapenzi? Kufa siye tuendelee kula uhondo baba

kama ntafanya hvo basi naamin itanchukua muda
niliyempenda et kaamua kunisalit kwa RAFIKI YANGU wakaribu kabisa kisa VIJISENT
naomben ushauri nihame mji au nijiue 2 ila sipend hata kidogo kuwaona hawa mafedhuri
 
Unataka kujiua kisa amekuacha! Ina maana unampenda mtu kuliko maisha yako. Unafaham kuwa huwezi fidia unywele au ukucha endapo utatoweka mwilini mwako? Jaribu kufikiria ni kwa jinsi gani ulivyo wathamani kuliko hicho kirambasi chako!! Fanya kazi, jumuika na watu wakupe maushauri, epuka kukaa peke yako!
 
Back
Top Bottom