- Thread starter
- #21
is it that bad kua antisocial???Utamuomba sana Mungu usipobadilika
is it that bad kua antisocial???Utamuomba sana Mungu usipobadilika
apo ndo unapokosea....there is no formula utampatia wap....just keep all the options openme nahitaji ushauri tu,sio mwanaume,esp wa mitandaoni,no
i have a pretty face and i know,u don have to trust me,sema kingine
Tuongee nini sasa wakati unataka kutongozwa live ???tuongee hapa hapa jukwaani
hata me nawasubiriNyie viumbe mm siwaelewagi kabsa ,mnataka nini ,ngja waje member wengne nione michango yao
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa
kichwa cha topic kinajieleza,ni mzuri najijua though si wa kutisha,nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo,am dark skin,sio mrefu ila nmempita urefu lulu michael kidogo. Shida ni nini? yes am overconfident,ila sidhani hiyo ni sababu. Am smart kichwan hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea??? Nakubali me ni antisocial. ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back,now nimeacha. And am just 23,whats wrong with me????
Nikaoge baharini au?
Em nifarijini guys,hata mkinitusi poa me sinaga noma.
guilty,lol
,ila thats nat being selective bwana,its just my principleam pretty,u don have to trust me kakangujiangalie kwenye kioo maybe una sura ya kiume dada angu
Wewe si wa mtandaoni?sipendagi watu wa mitandaoni
Ulimuona NokiaSura yako mbaya tabia mbaya halaf una maringo
me siwezi na sijaona wa kumtongozaKwani adi utongozwe, hata wewe pia unaweza kutongoza, mbona watoto wa kike wa kizungu wapo free kueleza hisia zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unajua mungu atakuletea huyo mume kwa staili gani ???unajuaje kama atakupa kwa kupitia kwenye mitandao .sawa
i do,tho si kama wa wema
Symptom mojawapo hiyo. You still selective afsipendagi watu wa mitandaoni
nimewauliza ila SIJAWATAKA,jua kutofautisha,otherwise ningeenda love connect moja kwa mojaMbona unawauliza wa kwenye mitandao?hahaha kweli wewe ant social.
Sent using Jamii Forums mobile app