Work on your social behavior.
Trust me.Too much anti-social behaviors and shyness make anyone look awkward and unattractive no matter how pretty you think you are.
You know.
Kuna watu wanajijua hawana muonekano mzuri ila the way they present themselves socially, like smiling,ndo kunawafanya attractive.Hata kama unamkatalia mwanaume seriously hautakiwi kuweka sura ngumu just smile mwangalie straight in his eyes mwambie no sio unanunaaa.Au unamtusi.
Wanaume wataishia kukuona unattractive na unaboa.
Af usiwe mtu wakusubiria uambiwe mambo kila siku sometimes go ahead mwambie mwanaume mambo.I try to do that nikikutana na mwanaume yeyote tu.
Do u know why?
Huyo mwanaume unayempa hi kuna siku atakutana na mwanaume anayekutaka ila anakuogopa.Yeye ndo atamwambia uko Poa.
Pia huyo mwanaume kama alikuwa anakuona unajishaua at least atakuelewa.
Pia unapata marafiki na marafiki wakiume Ni wamaana zaidi.
Mfano.Mimi nilikuwa nikitembea nilikuwa niko focused na mahali napoenda af sitembeagi kwa kujivutavuta na sikwepeshi macho nikikutana na mtu yani kama simuoni vile.
Rafiki yangu mmoja wa kiume akaja kuniambia alinionaga najishaua saaaana af kauzu..Ko alikuwa ananiogopa,nilicheka ila niliona tatizo liko wapi nikajirekebisha,ndo tunavoishi.
Saivi na tembea at ease na nasalimia watu.
Pia sio kila siku unasubiria utextiwe wakwanza.Play hard to get but don't overdo it.Mwanaume akisha kuapproach af kama na wewe unamfeel..sawa play hard kidogo ila ukizidi ataona haina Maana anakupotezea.Asa wewe ukiendelea kujifariji na kusingizia kuwa Ni mpango wa Mungu eti labda Mungu alikuwa anakuondolea mwanaume asiyekufaa..unajidanganya na kujipotezea muda.Ndio,utakuja labda kupata mwanaume mzuri ila pia huwezi kujua ulipoteza mwanaume mwenye potential kisa ujinga na uzembe.Be honest.Mungu atakubaliana na mimi.
Ukumbuke wanaume wanatuapproach depending on how we present ourselves.
Wanaangalia muonekano wanaconnect na body language na unavyoongea n.k halafu ndo anakuja kutongoza.
Kama wewe Ni mwanamke smart inabidi pia ujue in real life usiwe mwanamke wa kuonesha ushindani wakijingajinga na mwanaume au usiwe mtu wakupenda kuwasemasema wanaume saaana especially mbele yao au kumletea mwanaume Negativities na dharau.(Pia kutowasema wanawake wengine)
MWANAUME YEYOTE YULE.Awe mwendesha boda au Nani...MPE mwanaume heshima yake hata kama Ni colleague.Feed his ego.
That's being smart na hautajuta.
We huonagi mwanaume yeyote ukimsifia au ukimpa heshima yake hataki kukuangusha.Usishindane nae ujinga.
Men are like kids,wanapenda sifa na kupendwa.
Give to Caesar what belongs to Caesar.
In the long run kuna mwanaume ataona hiyo roho yako nzuri kwani utakuwa attractive kote kote machoni pake.
Nakushauri tena na tena,uzuri na usmart wetu tunaojiona wanawake tunao...wanaume wanauona na wanaugrade tofauti.
Mwingine atakuona we utamboa tu baadae Ko wakupita.Mwingine anakujudge sexually anakuona utamboa kitandani kisa tu uko kilokole.Ndo wanaume walivyo.
Kwa hiyo silaha pekee nikupunguza majivuno na kuwatreat with respect,ila usiwe mnafiki.
Na kamwe usijirahisishe wala kujishushia heshima mf.kuanza kuvaa ovyo, na kuiga tabia mbovu au kupenda kuwazoea zoea boyfriends wa watu.Au kuanza kuwasema watu.Rafiki yako wakiume akipata girlfriend..Mark your distance,punguza mazoea,acha kumshikashika kama zamani.
Kuwa social sio kuwa mbea.
Unajua kuna wale watu ambao no matter how much gossip you tell wenyewe hawareciprocate.Mimi sitakuambia umbea mwingine eti ili stories zinoge..nadhani ndo Maana watu hawatakagi kuniambia tena maumbea yao.Wengine wananiambia tu kwasababu I'm less interested kwahiyo sitasema.
Mimi kuwa kwangu social nikwasababu I welcome good changes na napenda utani na positivity sio umbea.
Natoa mfano wa mwisho.Ninasema cuz its going to help some girls out there.
Kuna rafiki yangu wakiume anapenda Sana kuwasema wanawake anaowakosa.Sidhani kama nitabia nzuri ila ndio hivyo..minamuona mbaya ila kaonesha sample ya wanachoongelea wanaume kuhusu wanawake.
Yeye alimsema mwanamke flani mzuri tu saaana eti Ni bora akachimbe shimo aweke maji ya moto a**** kuliko alale na huyo mwanamke nilishangaa sana..Mara akaanza kumsema kuhusu maumbile yake tena tulikuwa tu kama group la watu ye anahadithia.unajua kama ulikuwa unamuona mtu mzuri unaanza kumuona mbaya.Siunaona sasa wanaume walivyo? They have that power.Wanakuharibia your future kabisa.
Ushauri wa mwisho toka kwangu.
Kama wewe Una ranginzuri na unavutia
Au Una shape nzuri,au macho mazuri..chochote ila sanasana umbo
Kuwa makini.Ni shida sana kupata mwanaume genuine.Saana.Nadhani ndo maana wengine wanaamua kuwa antisocial au makauzu au kuanza kwenda church kama defensive mechanism.
Ni muhimu usiwe antisocial Maana wanaume watakupendea tu hilo umbo lako.
Bora utafute factors nyingine ujue mwanaume hajapendea shape.I'm telling you.Narudia tena.You better upgrade.
Mfanye mwanaume atake kuongea na wewe au kukuona tu na siyo muda wote awaze kukufyeka.
BONUS POINT
Unaweza ukawa mzuri na smart kumbe uakasoro nyingine zinazowakimbiza wanaume
-Kunuka;mdomo,makwapa n.k
-Uchafu wanguo na mwili na nywele.mf.weave unakaa nalo for two months
- Kuvaa ovyo
-Kupenda kuhadithia stories zako za kutendwa
-Roho mbaya mf kupenda kudowea hela za mwanaume zakwako zinauma.Yani hata kujitolea huwezi.kuwapelekesha wanaume kisa unajiona mzuri.
Kumnunulia zawadi mwanaume haujawahi katika maisha yako yote.Kutoridhika na mwanaume mmoja mpaka udate na rafiki yaje.Uchoyo na wizi kwangu Ni definition ya roho mbaya.Inakuharibia CV ya relationships.
You'll thank me later.
Phew