Tatizo lako limepata muafaka.Kichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?
Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?
Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?
Embu nifarijini guys.
unaanza kupata KICHAA kama hujui..............dalili ya kuwa kichaaaKichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?
Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?
Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?
Embu nifarijini guys.
why uctongoze na wewe best eh do itKichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?
Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?
Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?
Embu nifarijini guys.
Vipi ushaolewa? Kama bado ni PM waoaji tupoKichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?
Yes am overconfident, ila sidhani hiyo ni sababu, Am smart kichwani hadi mwilini. Shida ni nini? Au ninavosali kumpata mume atakaempendeza bwana kuna sehemu nakosea?
Nakubali mimi ni antisocial ila sidhani hiyo ni sababu. Yes i was selective ila zamani sana kama 2 years back, now nimeacha. And am just 23, whats wrong with me? Nikaoge baharini au?
Embu nifarijini guys.
Amepata ila kapukuNiinbox kama bado hujapata
Harafu anaweza kuwa mzuri lakini tabia mbayawanawake kama wewe wanaojiona wazuri mara chache sana kutongozwa labda mtumie nguvu ya ziada.
Njoo wewe basiAmepata ila kapuku
Labda umsaidie kuvumilia.
kwani wenye sura ya kiume hawatongozwi jamani? teh nimecheka kwa nguvu ujuejiangalie kwenye kioo maybe una sura ya kiume dada angu
Vipi yule mvulana wako uliyesoma nae chuo?? Hakutoshi au ndo umeamua kutangaza biashara ya papa bin nguru ili wazee wenye pesa zao wabebe zigo hilo??Kichwa chatopic kinajieleza, ni mzuri najijua though si wa kutisha, nina kishuzi ila kimezidiwa na tuhips kidogo, am dark skin, sio mrefu ila nimempita urefu Lulu Michael kidogo. Shida ni nini?