Sitarudia tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitarudia tena

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Wa kusoma, Nov 10, 2011.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mwanajamvi wa jf kwa id yangu ya "COMPLICATOR2011" , moderator wamenipiga bann ya maisha kwa kosa ambalo sitaki kulitaja hapa. Kwa kupitia ID hii ya rafiki yangu nawaombeni sana tena sana sana modes mnisamehe sitarudia tena. Wanajamvi nisaidieni kuomba msamaha.
   
 2. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kama ulitumia lugha chafu pumzika hatukuitaji kama ni jingine sema nikutathmini
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  pole sana....mi nakushauri usitende kosa tena....
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Pole, hope wamesikia ombi lako.
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Pole kaka
   
 6. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Afu kama leo kuna thread umeanzisha ya bungeni?
  poleh, but kuwa muwazi we binti.
   
 7. B

  Bundajo JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ban ni haki yako kiumbe usiye na haya weye
   
 8. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,063
  Likes Received: 7,529
  Trophy Points: 280
  I hope wakati wa paole ukifika wanaweza kukujadili kwasababu umeonyesha uungwana kwa kutafuta namna ya kuungama na pia kwa kutolitaja kosa ulilofanya umeonyesha kuwa si mlalamishi na umelinda hadhi ya Mods.
  Hongera sana naamini utakuwa huru in no time.
   
 9. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,895
  Trophy Points: 280
  Mmmh why this?
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  pole sana hakuna aliyekamilika. Nalog off
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Wakuu msameheni kiumbe wenu,
  kila aombae hupewa.
   
 12. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kuna njia maalum za kukata rufaa mkuu.
  Naomba ugonge HAPA na utoe ombi lako.
   
 13. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Si unatumia ID tano wewe au?
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  I'd ya rafikiyo? Si mngeendelea kushare I'd hiyo kizalendo? Ama ungue nyingine tu. Manake hata wauaji huwa wanaomba wasamehewe kwa sababu wana familia etc lakini wakati wakiua hawakumfikiria marehemu wala familia yake,achia mbali familia yake mwenyewe.
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Pole sana ndg. BAN inauma sana. Naamini mod wamekuelewa.
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Natumai ombi lako limesikika na watakufikiria,vuta subira huku ukijifunza kutofanya tena kosa.
   
 17. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  asante sana, nakiri kweli sitarudia tena.
   
 18. driller

  driller JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  pole sana asee..! ila next time kua muangalifu hata kama watakusamehe mzeeiya
   
 19. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Do not complicate and mainly modes can lower the punishment. If they implement life punishment they are not far from you either, all the same.

  MODES releave this guy.

  Nawakilisha
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  mashallah Mshiri kumbe ndivyo ilivyo hivi! modes naomba musikilize ombi la Mshiri ili jamaa atoke kifungoni.Nalog off
   
Loading...