Sitapost ujinga tena JamiiForums

Nimecheka sana daaa! Jf kuna vituko!
 
''Hasa ukizingatia wanaopewa papuchi humu ni wale wanaocomment kistaraabu nakuunga mkono hoja bila kupinga!'

Nelson kweli kwa kauli hii umeacha kupost ujinga?
 
We tatizo lako unatishwaga na mipasho ya baadhi member katikati ya mijadala ya watu kujifanya wana salimiana Mara wamemisiana Elli@miss chaga@khantwe na wengi wao wanajuana
 
Last edited by a moderator:
We tatizo lako unatishwaga na mipasho ya baadhi member katikati ya mijadala ya watu kujifanya wana salimiana Mara wamemisiana Elli@miss chaga@khantwe na wengi wao wanajuana

Hahaa kwa hiyo kwa mawazo yake huwa tunapena. Kweli unyimwe kila kitu ila omba usinyimwe akili
 
Last edited by a moderator:
Kama ipo. ipo tu... Hawa viumbe hawana formula.
 

Mkuu.....
Yaani kumbe ndio unakumbuka kujikuna palipo acha kuwasha..!?
 
Mnapewa papichi kwa kuchangia kistaarabu ...

Ngoja na mimi nitaanza kuchangia kistaarabu na sio kizungu!
 
Kwahio unafanya hivyo ili upate papuchi???? Heri nimsikilize Mzee wangu Wa Male Tz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…