Sitamsahau huyu shemeji yangu

Sitamsahau huyu shemeji yangu

Siku ukija Mwanza nitakukutanisha na mhusika na pia nitakuthibitishia kuwa hii sio story

Ukifika tu nitafute mkuu,usiwe mwoga lakini ...!!
Teh teh tehe!!, nilisomaga vile vijitabu vya yule dada Irene anayeandikaga stori za ngono kwenye magazeti ya udaku, Mama yangu anakula nyama za watu, kingine kinaitwa nchi za wachawi, kuna stori kama hizo mkuu.
 
Una uhakika na research umeifanyia wap
nimefanya kanda ya ziwa maeneo ya,kutokea old shy kuelekea hadi panda kichiza,kuanzia kahama ,segese,kakola,ukerewe,geita,mwandoya,lamadi,dutu,bushtala,iselamagazi,maampaka nk
 
nimefanya kanda ya ziwa maeneo ya,kutokea old shy kuelekea hadi panda kichiza,kuanzia kahama ,segese,kakola,ukerewe,geita,mwandoya,lamadi,dutu,bushtala,iselamagazi,maampaka nk

N maeneo baadhi c yote .
mkuu
 
Teh teh tehe!!, nilisomaga vile vijitabu vya yule dada Irene anayeandikaga stori za ngono kwenye magazeti ya udaku, Mama yangu anakula nyama za watu, kingine kinaitwa nchi za wachawi, kuna stori kama hizo mkuu.

Mkuu,hii sio hadithi ni tukio ambalo limetokea,usifananishe na hizo hadithi ....!
 
nimefanya kanda ya ziwa maeneo ya,kutokea old shy kuelekea hadi panda kichiza,kuanzia kahama ,segese,kakola,ukerewe,geita,mwandoya,lamadi,dutu,bushtala,iselamagazi,maampaka nk

Hayo yote ni maeneo ya Mkoa wa Shinyanga,Geita,halafu wewe ulisema "kanda ya ziwa" wakati kanga ya ziwa ina mikoa zaidi ya Geita na Shinyanga na kanda ya ziwa wakazi wake sio wote ni wasukuma

Hapa imetajwa Ukerewe,hakuna wasukuma huko

Kuna dhehebu maarufu sana linasifika kuwa ni la wasukuma,unalijua?
 
maeneo hayo niliyotembea AIC ndo wametawala na RC
 
maeneo hayo niliyotembea AIC ndo wametawala na RC

1;Hayo maeneo yote uliyotaja mengi ni ya vijijini,na huko umesema kumetawaliwa na AIC na RC,mara nyingi maeneo hayo kwakuwa ni ya vijijini wenyeji wake ni wazawa,sasa hao uliosema "wengi hawana dini' ni wa wapi?

2;Hujajibu swali langu la msingi nililokuuliza kwenye post yangu uliyoi quote!
 
ndo wazawa hao wasukuma wako hvyo
then kuhusu kanda ya ziwa kuna mikoa mingine km kagera na mara huko sijajua so siwezi kuzungumzia hapa nimeongelea wale ninaowafahamu ambao nimeishi nao
old shy,maeneo ya segese,panda kichiza,bariadi,lamadi,meatu,maswa,kakola,geita
 
story ndefu mno. hayo mambo ya mama kupokelewa kwa bashasha ungeyadelete.... yameongeza urefu..

Acha uvivu wewe Price. Unaweza kweli kusoma kurasa 750.?
 
Last edited by a moderator:
daah hii dunia ina matukio ya kila namna pole yake yaliemkuta
 
namimi sijasema wote ila humo nilimomention nimekaa na nimeshuhudia na wenyewe wanaongea so may b wanadanganya

Ni kweli mkuu imani za kishirikina zilikuwa ziko juu sana kanda ya ziwa mf. Hai n mama yangu baba ake alikuwa n mwalimu ukerewe miaka ya 1988 alipoenda msibani toka mwanza walionywa wasile chakula toka nje ya nyumbani kwao,kwani kwa taratibu za huko msiba ukitokea majirani huja na chakula toka makwao kikiwa kimepikwa,pia cha kushangaza wakati wako msibani walipata taarifa na kushuhudia karatasi ikiwa imebandikwa kwenye mti ikionesha tarehe,siku na mwaka na saa ya kufa kwa babu ikiwa imeandikwa na wengine pia waliokuwa wanafuata yaani kuna daftari kabisa la kujua fulani anakufa siku Fulani,tare he, saa na mwaka..yaan wamegeuka kama wao ndio israeli,hali kama hiyo ilitokea mwanza kata ya Kirumba ,mtaa wa kabuhoro barabara ya kwenda ibanda ,ambapo majina yalikuwa yanabandikwa kwenye nguzo za umeme watu waliokuwa wanatakiwa kufa na kweli wanakufa hasa vijana,ndipo vijana walipogoma kuchimba makaburi kwa kusema' kama wanatuua sisi wakachimbe wao makaburi' ilikuwa sokomoko balaa mpaka diwani akaangilia miaka hyo ya 2005-2010,diwani alikuwa anaitwa Richard Rukambula,ndipo mambo yakatulia na hao wachawi au wapaisha tiara, wakapunguza
Mkuu uchawi tena wa kutisha kanda ya ziwa
Nakubaliana na wewe
 
ndo wazawa hao wasukuma wako hvyo
then kuhusu kanda ya ziwa kuna mikoa mingine km kagera na mara huko sijajua so siwezi kuzungumzia hapa nimeongelea wale ninaowafahamu ambao nimeishi nao
old shy,maeneo ya segese,panda kichiza,bariadi,lamadi,meatu,maswa,kakola,geita

Ngoja tu nikuache maana unazidi kuzua maswali tu

Siku nyingine usiwe unawa group watu hivyo!
 
Back
Top Bottom