Sitamsahau huyu shemeji yangu

Sitamsahau huyu shemeji yangu

Ni kweli mkuu imani za kishirikina zilikuwa ziko juu sana kanda ya ziwa mf. Hai n mama yangu baba ake alikuwa n mwalimu ukerewe miaka ya 1988 alipoenda msibani toka mwanza walionywa wasile chakula toka nje ya nyumbani kwao,kwani kwa taratibu za huko msiba ukitokea majirani huja na chakula toka makwao kikiwa kimepikwa,pia cha kushangaza wakati wako msibani walipata taarifa na kushuhudia karatasi ikiwa imebandikwa kwenye mti ikionesha tarehe,siku na mwaka na saa ya kufa kwa babu ikiwa imeandikwa na wengine pia waliokuwa wanafuata yaani kuna daftari kabisa la kujua fulani anakufa siku Fulani,tare he, saa na mwaka..yaan wamegeuka kama wao ndio israeli,hali kama hiyo ilitokea mwanza kata ya Kirumba ,mtaa wa kabuhoro barabara ya kwenda ibanda ,ambapo majina yalikuwa yanabandikwa kwenye nguzo za umeme watu waliokuwa wanatakiwa kufa na kweli wanakufa hasa vijana,ndipo vijana walipogoma kuchimba makaburi kwa kusema' kama wanatuua sisi wakachimbe wao makaburi' ilikuwa sokomoko balaa mpaka diwani akaangilia miaka hyo ya 2005-2010,diwani alikuwa anaitwa Richard Rukambula,ndipo mambo yakatulia na hao wachawi au wapaisha tiara, wakapunguza
Mkuu uchawi tena wa kutisha kanda ya ziwa
Nakubaliana na wewe

Haya mambo hata sumbawanga yapo,Kigoma yapo hata Tanga pia na mikoa mingine

Hii dhana ya kudhani mahali fulani ni kiboko ni dhana ya hovyo kwasababu siku hizi ukiwa na hela tu unaweza kuununua uchawi unaoutaka!
 
Dunia ina mambo, mpe pole huyo ndugu kwel Mungu anampenda inabidi nae ampende sana Mungu wake
 
Haya mambo hata sumbawanga yapo,Kigoma yapo hata Tanga pia na mikoa mingine

Hii dhana ya kudhani mahali fulani ni kiboko ni dhana ya hovyo kwasababu siku hizi ukiwa na hela tu unaweza kuununua uchawi unaoutaka!

Ni kweli sehemu nyingi yapo ila nilikuwa nagusia content ya Uzi
Ila kwa huko nilipoelezea wengi wamerithi
 
Aisee....hii story inahuzunisha ila ungekumbukapo kutaja tu jina la Yesu hasa pale ulipokuwa kitandani unahisi mwili mzito, ungeona jinsi wangetimua mbio.
Lakini sengerema usipime babuu...ushirikina kule ni noomer! Ni kama dini vile
 
Very touching. utakuta hata kifo cha mtoto k ina to kana na mambo haya
 
Uokoke sasa ili uende tena hawatakuweza yesu atakutetea. Maana inaonekana wewe huna hata chembe ya imani yeyote
 
Mkuu naomba nisindikize kwa shemeji yako sengerema
 
Aisee hii story kwa mida hii ya usiku ni noma.... unaweza ukalala kwa wasiwasi sana.....
 
Duh, nimemaliza.....inatisha kwa kiasi chake, kanda ya ziwa ipo vizuri kwenye hii sekta.
 
Uhusiano wangu umevunjika kumbe ndivyo walivyo baba mkwe atasubiri saaaana
 
Back
Top Bottom