The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 501
- 288
Natamani kuisoma ila Story Ndefu sana kama kungekuwa na uwezekano Nyambari Nyangwine Angei-summarize Nisome point tu nichukue Mafunzo
Mchawi usimwamini hata kama ni mama yako, akikutembelea kwako chukua tahadhari.
Usiache mwanamke mchawi aishi.
Mkuu hii sio hadithi ni tukio lililotokea kabisa ...!!
Nini kimekufanya udhani ni ya kutunga?
Ulikuwepo?Mkuu hii sio hadithi ni tukio lililotokea kabisa ...!!