Sitamsahau huyu shemeji yangu

Sitamsahau huyu shemeji yangu

ukitaka kumficha mtanzania jambo..liweke kwenye kitabu... kastory kafupi mnashindwa kusoma hebu tujenge mazoea ya kujisomea na tuwahimize wtt wetu kujisomea vitabu
hiki sio kitabu mkuu, kingekua kitabu ningekisoma hadi mwisho....
 
Aisee!! Simulizi nzuri sana,ila huyo jamaa alikuwa ni mjasiri hamna mfanowe....
 
Duh...huyu jamaa inaonesha aliomba likizo ili kuandika hilo jarida....poa sana....
 
ukitaka kumficha mtanzania jambo..liweke kwenye kitabu... kastory kafupi mnashindwa kusoma hebu tujenge mazoea ya kujisomea na tuwahimize wtt wetu kujisomea vitabu
NImeshangaa hata mimi kisa kifupi kweli tena kimeandikwa kwa paragraph vizuri kabisa ila mtu anasema ndefu mi natumia simu hata huo urefu siouni yaani watanzani tu wavivu sana wa kupenda kusoma.
 
Duhh......pole yake.
Sie binadamu tuangaliane tu hivihivi na matabasamu juu.....ila kwa upande wa pili tuna mambo ya kustaajabisha na kuogofya sana!!!
 
haya mambo yanatisha sana,lakini kuna wakati ubahili unakuwa hatari na hata kuhatarisha maisha ya m2,sio kila jambo unalifanyia ubahili,take care .......
 
Back
Top Bottom