Sitamsahau huyu shemeji yangu

Sitamsahau huyu shemeji yangu

Ula huko mwanza si inasifika kwa kuloga? sishangai kabisa. Pole sana mhusika. Na mjukuu wenu alichukuliwa kafara na babake.
 
Mkuu hizo ni tungo za Shigongo au ni Irene Mwamfupe Ndauka katika Mama yangu anakula nyama za watu au simulizi za nchi ya wachawi?

Siku ukija Mwanza nitakukutanisha na mhusika na pia nitakuthibitishia kuwa hii sio story

Ukifika tu nitafute mkuu,usiwe mwoga lakini ...!!
 
Ula huko mwanza si inasifika kwa kuloga? sishangai kabisa. Pole sana mhusika. Na mjukuu wenu alichukuliwa kafara na babake.

Uchawi upo kila mahali mkuu!!
 
Jinsi hao wachawi walivyoshindwa kummaliza! maana alikuwa ndani ya uwezo wao!! Na hasa pale alivyoondoka usiku ndani ya nyumba yao. Kama stori inavyosema kuwa ni wachawi maarufu.

Mchawi anauwezo wa kukufanyia mauzauza lkn hana uwezo wa kuchukua nguvu zako na pengine hata kukugusa
 
Duh!wakati naisoma hakika kunawakati mwili ulikuwa una sisimka loh!Hiyo ni hatari,ila unaonekana uko vizuri kimwili,

Niwajibu wako kumshukuru muumba wako!
 
Mweh.....

Sayansi ya kiafrika ni noma

Kudhani kuwa uchawi ni wa Waafrika tu ni kosa kubwa

Uchawi upo kila sehemu duniani na hata viongozi wakubwa ambao wanajulikana duniani ni wachawi sana!
 
Yaani huyo Jamaa ktk shida zote kamsahau ata Mungu...ndio maana kirambasi kilikuwa kirefu
 
Ingekua powa sana kama title ingeanza na neno "Stori" au "Hadithi"
 
Mhhhhh Nimeishi Sengerema Mwaka mzima sijawahi kuona chochote, Japo wakati nahamia Vitisho vilikuwa vingi sana, Nakumbuka kuna Mwanamke alinipigia simu siku moja baada ya kugundua mumewe ananifuatilia Aliniambia nakuahidi utarudi ulikotoka ukiwa Maiti! Daaah Lakini kuna Rafiki yangu na yeye alikuwa mgeni kikazi alikuwa anatokewa na Vitu vya ajabu sana kwenye nyumba alipokuwa anaishi! All in all Mungu ni Mwema mpaka naondoka nilikuwa salama.
 
Eiyer nimeisoma yote ila jamaa alikuwa na Mungu wake na ndo maana wakamshindwa na kama angeogopa wale fisi na mbwa na kurudi nyuma hapo ingekuwa mwisho wake
 
Last edited by a moderator:
kanda ya ziwa jamani funiko bovu
ila huyo mtu hana dini?
maana sijaona alipoomba msaada wa MUNGU hata sehemu moja
 
Mhhhhh Nimeishi Sengerema Mwaka mzima sijawahi kuona chochote, Japo wakati nahamia Vitisho vilikuwa vingi sana, Nakumbuka kuna Mwanamke alinipigia simu siku moja baada ya kugundua mumewe ananifuatilia Aliniambia nakuahidi utarudi ulikotoka ukiwa Maiti! Daaah Lakini kuna Rafiki yangu na yeye alikuwa mgeni kikazi alikuwa anatokewa na Vitu vya ajabu sana kwenye nyumba alipokuwa anaishi! All in all Mungu ni Mwema mpaka naondoka nilikuwa salama.

sehemu kama hzo kua simple ishi km wenyeji walivyo utaenjoy ila ukijfanya babu kubwa iyakula kwako
mi nimeolewana mangosha pande za bariadi
hawaendagi kijijini kwao wanamuogopa bibi yao mchawi balaa anaogopwa hatari wanaishiaga mjini tu kwa wazazi wao
mwandoya hawafiki
 
Back
Top Bottom