Sitamsahau huyu shemeji yangu

Sitamsahau huyu shemeji yangu

mbona hujatuambia hata kama ulikuwa unasali kimoyo moyo au laa nawe pia unanitia shaka
 
Somo zuri! ila kilicho nifanya nikomae kuisoma ni kauli yako ya mwanzo mkuu,uliposema"JIKAZE USOME KISA CHAKE...." hahahahahh
 
sehemu kama hzo kua simple ishi km wenyeji walivyo utaenjoy ila ukijfanya babu kubwa iyakula kwako
mi nimeolewana mangosha pande za bariadi
hawaendagi kijijini kwao wanamuogopa bibi yao mchawi balaa anaogopwa hatari wanaishiaga mjini tu kwa wazazi wao
mwandoya hawafiki
Naona Kuna sehemu umetaja mwandoya mbona sehemu hiyo haina hayo mambo?
 
sehemu kama hzo kua simple ishi km wenyeji walivyo utaenjoy ila ukijfanya babu kubwa iyakula kwako
mi nimeolewana mangosha pande za bariadi
hawaendagi kijijini kwao wanamuogopa bibi yao mchawi balaa anaogopwa hatari wanaishiaga mjini tu kwa wazazi wao
mwandoya hawafiki
Mwandoya
Nimeishi zahanati pale..
usafiri ulikuwa trekta la kijiji kwenda Maswa mnadani siku ya jumapili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninao kwasababu ni mwenyeji wa hapo na ukoo wangu umeenea kuanzia kwenda kisesa, mwaukoli mpka kuvuka mto kwenda itilima
Na unapozungumzia sehemu hebu jaribu kuwa specific unapozungumzia mwandoya Kijiji na ama mwandoya Kama kata
 
Huyu Eiyer anaweza kua Khamis Kigwangala

Hadithi hii inafanana na hadithi na NjeyaBox
 
Back
Top Bottom