Sizitaki mbichi hizi !... kuna mtu asopenda uRais jamani? watu wamekaa folen msusuru mkuuubwa wamesimamishwa wakati huo Mtukufu Rais ndio kwanza anakunjua shuka yaani ndio anaamka! huku Trafic amesimamisha watu wanasubiri mpaka Rais apite! mpaka atoke aoge amalize nyie mmesimamishwa tu mara ndio huyoooo anapita kwa kasi ya ajabu ! asitudanganye bwana !
Mchambuzi,
..lakini Pinda anasema anaogopa matatizo, siyo madaraka.
..wakati Pinda anaona Uraisi ni matatizo, wenzake wanaweza kuona ni an opportunity to solve those problems and do good for our country.
Ni sahihi, but all the same, Pinda anaona nafasi ya urais ni mzigo mkubwa. Na ni muhimu pia tutambue kwamba ndani ya CCM, wapo viongozi ambao wanaona nafasi ya urais ni "leadership position", na wapo wengine wanaona nafasi ya urais ni "position of power".
Kuhusu Plato, yeye aliamini kwamba leadership requires a person to sacrifice his or her immediate self - interest. Ni kutokana na experience katika jamhuri mbalimbali, leo hii jamii nyingi huwa na mashaka sana na watu wanaotafuta uongozi kwa nguvu, kwani wengi wao ni aidha, hawaelewi mzigo mkubwa wa majukumu utokanao na nafasi kama ile, au wanatafuta uongozi kwa ajili ya maslahi binafsi.
Vinginevyo kuna uwezekano kama unavyosema kwamba wapo wenye nia ya urais ili kwenda kutatua matatizo yanayokabili nchi yetu ya Tanzania. Ila ningependa kujua siku moja, ni kina nani hao katika Tanzania ya sasa.
Huu ndio upuuzi wa Masoud Kipanya leo hii IjumaaView attachment 46186
Mkubwa hii avatar yako inastua sana...du!sasa hapo kuna upuuzi gani, mkuu? au kwa vle kaweka quotes kwenye neno 'urefu'? kwan unafkir ni urefu wa kitu gani?
sasa hapo kuna upuuzi gani, mkuu? au kwa vle kaweka quotes kwenye neno 'urefu'? kwan unafkir ni urefu wa kitu gani?