Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Nyie hamjaelewa...Masoud anaita katuni zake "UPUUZI WA MASOUD KIPANYA" hii ni brand name ya katuni za masoud!mbona sioni upuuzi hapo?? maana kuna watu wansema hawataki urais lakini mioyoni mwao wapo tayari hata kuua mtu wa upate!!