Sitaki tena window 7

Kila mtu ana haki ya kusema kile alichonacho kichwani mwake ilimradi tu asivunje katiba so ni vijimambo tu

I agree with you ila the way ulivyoileta haijakaa kama tahadhari au taarifa au ulikuwa unatakaje
Utoaji wako wa mada ndio maana watu wamaiona kama haina maana kwa kuwa imekaa kiutani utani sio taarifa wala sio tahadhari
 
Mkuu sikatai kuwa haya yapo ila mleta mada hajaileta kitaarifa yaani ameleta kama utani
Kuna namna ya utoaji tahadhari au taarifa mkuu na hilo hapa hatujaliona


Brainstom........sio lazima uambiwe hiki ni kijambo alihali harufu umeisikia
 
Mbona ujumbe ulio kwenye avatar yako unapingana na matendo yako??
 
Mkuu mbona umepotea kama umeme wa ngeleja
au ulienda kupata kiburu kule mndenyi

hahahhahahahh...Kiburu.... kati ya vyakula vilivyonishangaza Arusha/Kilimanjaro na nyingine inaitwa Roshoro hahahahahahaahahhahahah usiombe uletewe bariiiiiidiiii hahahahahhahah kama unakula pembeni
 
Mambo hayo yapo..hasa vijijini kwenye Guest House mbili tatu..!!! Inaelekea umri wako bado mdogo, kwahiyo kuwa makini na vibinti vidogo vidogo ambavyo huna future navyo. Omba ushauri kwa watu wanao kuzunguka kuhusiana na mambo ya kimapenzi.
 
hahahhahahahh...Kiburu.... kati ya vyakula vilivyonishangaza Arusha/Kilimanjaro na nyingine inaitwa Roshoro hahahahahahaahahhahahah usiombe uletewe bariiiiiidiiii hahahahahhahah kama unakula pembeni

Mkuu chakula bomba sana hicho haswa ukikikuta kimepikwa na kuhifadhiwa kiusafi
Kwa mtu wa hapa arusha ukioa umasaini ni lazima ukutane nayo iko kwenye kibuyu
 
Mkuu chakula bomba sana hicho haswa ukikikuta kimepikwa na kuhifadhiwa kiusafi
Kwa mtu wa hapa arusha ukioa umasaini ni lazima ukutane nayo iko kwenye kibuyu


hahahahahah aisee kule kwetu Usukumani nilishangaa sana nikadhani wamekosea. Mr. rock u made my day ahsante kwa kunikumbushia
 
hahahahahah aisee kule kwetu Usukumani nilishangaa sana nikadhani wamekosea. Mr. rock u made my day ahsante kwa kunikumbushia

hahahah nikitamu balaa mkuu yaani ni mradi kiwe na usafi tuu
Njoo huku arusha siku moja tukupeleke swehem wanakipika
 
Tumia vindow vista kwanza watu weng awaipendi vilevle securty yake ipo very high na inakuwa slow katka matumz inshort aina ukcheche
 
Ni mtazamo wako tu.......Niliinstall software yangu ila baada ya hapo nikaapa sitaki tena window 7. Cha kushangaza kako very innocent huwezi amini kama kuna mtu anainstall software lakini kumbe ....dah! TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA.....

Ni kweli mkuu sikatai kuwa ni mtizamo wangu ila kuna mtazamo sahihi na potofu. Sasa hiyo combination hapo juu injicontradict mno!
 
Hivi unafanya uzizi halafu unalalamika?wacha wamgonge vzr.tena inaelekea we ndo uliyemzoesha kuingia gesti.sasa kapazoea hadi kupitiliza.ukome
 
Jana nilikutana na ka-window 7 kangu mahali fulanifulani ili tujaribu kuintall software yangu...bwana bwana.....nilikapeleka lodge fulani sikutegemea kanafahamika sana yaani ile kufika tu mhudumu wa lodge akasema....hi marry nikupe room ileile ya kila siku? Dah nikatoa macho mbaya! Kumbe ka-window 7 kangu bwana ni kazoefu kale yaani pale ilikuwa ni home ground. Niliinstall software yangu ila baada ya hapo nikaapa sitaki tena window 7. Cha kushangaza kako very innocent huwezi amini kama kuna mtu anainstall software lakini kumbe ....dah!
<br />
<br />
unapaswa kufurah kuwa umempata mchezaji mzoefu. We kama kocha lazma usajili mchezaj mzoefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom