Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,660
- 19,377
SanaaaaaHiyo noma aisee
Sanaaaaa😀😀😀 Tanga rahaaaaaa
Hahahaaaaa wewe ni Watanga haswaaa, nimekukubali kama wooote......salamukwa Willy zimefikaKabisa.
Ukifika hapo nisalimie Willy muuza machungwa
Yule mwanaume hafutiki kwa memory yangu.Elezea kwa ufupi..!
Madam B, amba rutty ulimwona...!Kabisa.
Ukifika hapo nisalimie Willy muuza machungwa
Nyie mna balaa sana.ha ha ha no coment asante kwa ushuhuda
Na zile kona za Msambiazi zinaleta raha ya safariSanaaaaa
Niliambiwa kuanzia waendesha greda, watia kamba, wamwaga vifusi, watitisha barabara mpaka vibarua wameloea sehemu moja inaitwa Kange a.k.a 'mji wa wajenzi'Kimwage hapa kisa hicho Madam nasi tufurahie maana miaka mingi imepita toka ujenzi wa hiyo barabara na mavi ya kale hayanuki huwezi kutekwa bana
Muzee ya Dali kimoko hahahahNachojua wanaume mnatakaga wadada kama hao wasiochoka we tatu tu umechoka...au we ni yule wa kimoja chaliii
Hahaha viwili vya mkwezi af unasepawengi hapa watajifanya kukandia jamaa kukimbia lakini asilimia kubwa ni wadhaifu. ukitaka kuamini hili weka tangazo la dawa za nguvu za kiume uone wachangiaji wa kiume wanavyojaa inbox.
Vitu vingine ni starehe tu sio kukomoana, piga bao zako mbili kila mmoja anashika hamsini zake. Sio mambo ya kutoana jasho mpaka kwenye meno.
SwadaktaaaHahahaaaaa wewe ni Watanga haswaaa, nimekukubali kama wooote......salamukwa Willy zimefika
HahahhaMadam B, amba rutty ulimwona...!
Meona eeeeNa zile kona za Msambiazi zinaleta raha ya safari
Mie nipo kuondoa ngoma juaniIla we boya utakuwa unatania...au unatupiga sound tu
Mimi nimetangaza tangu mwaka jana natamani kukutana na binti wa kitanga ili niamini kama yasemwayo yapo na sijabahatika....wewe umeenda tu na kupata mchuchu ghafla?
Hahahaaa, hiyo itakua imeacha historia. Huko makwao bara walipotoka huingizwa jandoni na kufundwa lakini wakija Tanga na wakapata wanawake wa Kitanga hujikuta wanaingizwa darasani na kuanzishwa chekechea ya mahabatNiliambiwa kuanzia waendesha greda, watia kamba, wamwaga vifusi, watitisha barabara mpaka vibarua wameloea sehemu moja inaitwa Kange a.k.a 'mji wa wajenzi'
Walinaswa na wadada wa Tanga....wakawakimbizia huko na kuacha familia zao huko walikotoka