Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Mwanaume anakua anasingwa(scrubbing), halafu huwekewa maji ya kuoga yaliyotiwa hiliki na mdalasini, wakati wa kuogeshwa gololi zinawekwa kwenye kisahani

Sasa kama umetoka zako bara huko utakumbuka sangapi kurudi kwenu!? Ndio maana kibao cha kwaheri kikatolewa
Unasingwa mpaka korodani zinakuwa nyekundu na kuvimba juu.

Nakumbuka kisa fulani wale waliotengeneza barabara ya Wami-Segera.
Nilicheka sana aisee
 
Back
Top Bottom