Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Sitaki tena wanawake kutoka Tanga.

Hapa nakwambia mzuka wa safari ya Tanga ushanipanda Hajar

Nianzie Muheza,Lusanga na Bonde,kwenye vijiji vya Dirima na Kidutani wakati huo nitakua nimeshapita Chanika na Kidereko kule Handeni

Nikifika Segera niende Korogwe na Mombo yake

Nifike Tanga mjini nione vitongoji vyake vyote hasa Makorora wanapodeka, kisha niondoke nielekee Zingibari na Mchapeni

Lakini raha yangu haswaa nitaipata Duga Maforoni, na Kidigo nifundishwe hadi nikijue 😛😛😛😉😉😉
Hahahaaa. Karibu sana Tanga Sesten.

Ukifika kwa jinsi tulivyo wakarimu basi ukitoka hapo na weye ni mwalimu. 😂😂😂😂
 
Hapa nakwambia mzuka wa safari ya Tanga ushanipanda Hajar

Nianzie Muheza,Lusanga na Bonde,kwenye vijiji vya Dirima na Kidutani wakati huo nitakua nimeshapita Chanika na Kidereko kule Handeni

Nikifika Segera niende Korogwe na Mombo yake

Nifike Tanga mjini nione vitongoji vyake vyote hasa Makorora wanapodeka, kisha niondoke nielekee Zingibari na Mchapeni

Lakini raha yangu haswaa nitaipata Duga Maforoni, na Kidigo nifundishwe hadi nikijue 😛😛😛😉😉😉
Ukifika Mombo sheli, mwambie Kwedikizu akufungashie matunda damu...oda imetoka kwa mndele mimi
 
Nakumbuka kwa bibi kuna kisima cha maziwa.
Mkienda kutoa mahari, mwadumbukizwa mwaogeshwa wote na mkeo mtarajiwa ndani ya maji ya maziwa.
'Mwatakaswa'
Karibu Tanga...ule mapeasi na ngogwe
Mwanaume anakua anasingwa(scrubbing), halafu huwekewa maji ya kuoga yaliyotiwa hiliki na mdalasini, wakati wa kuogeshwa gololi zinawekwa kwenye kisahani

Sasa kama umetoka zako bara huko utakumbuka sangapi kurudi kwenu!? Ndio maana kibao cha kwaheri kikatolewa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom