Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

Ina wezekana ni lile tatizo lake la kuzimia kwenye shughuli mbalimbali limefanya madaktari wake waone ni muhimu afanyiwe uchunguzi wa kichwa aka ubongo aka akili

Kama alienda kufanyiwa uchunguzi zaidi kwenye ubongo wake hilo sio tatizo, kakini kama alienda kuchekiwa akili nje ya nchi huo ni udhalilishaji wa taifale letu na watanzania wote kwa ujumla wao.

swala la akili si kuna hospitali iko Dodoma (Mirembe) kwani kuna haja ya kwenda nje ya nchi???
 
Tatizo hapa ama rais au waandishi hawajaweza kutofautisha uchunguzi wa nerves/ afya ya ubongo na uchunguzi wa akili.

Uchunguzi wa akili sasa walimpimaje? Walimfanyia IQ test?
 
Teh teh teh,

Walimmulika na vimuli muli kwa dk tano mfululizo, kisha madakitari wawili wa kichina (cha kongo) wakaanza kumuuliza maswali ya sayansi kimu (third grade level), baadaye wakampigia wimbo wa Stono musica ....

**&&%%

sasa wanaanza kulia.. ehee nuhu, ehee nuhu ... utufungulie safina ...

**&&%%

Baadaye akaja Mtiro (yes yule mtiro ....) na kuanza kuzabua makofi

phwyaaa ....
phwyaaa ....
phwyaaa ....
phwyaaa ....

Baaadaye,

well ndoto yangu imekwisha.
 
Labda alikuwa ana maanisha kupimwa afya ya ubongo wake na siyo akili!

Ukisema "Ubongo wake" una maanisha alienda kupima uhalisi wa Utanzania wake????....

Othrwz ni kusema "akili yake haija kaa sawa???" au alienda "service?". Kama inafikia hapo itakuwa hata hao wanaoitwa "madaktari wa Mhishimiwa" hawana kazi. Hivi Muhimbili hawana wataalamu mpaka mkubwa wa nchi akafanye sevisi nje ya nchi ambapo ni hatari pia kwa afya yake kama kiongozi wa juu??
 
Kwani akili inapimwaje?

Julius,

Nikiwa ndotoni (za mchana of course) nimegundua namna walivyompima akili ...... (nimejaribu kulieleza kwa Bluray)

Walimmulika na vimuli muli kwa dk tano mfululizo, kisha madakitari wawili wa kichina (cha kongo) wakaanza kumuuliza maswali ya sayansi kimu (third grade level), baadaye wakampigia wimbo wa Stono musica ....

**&&%%

sasa wanaanza kulia.. ehee nuhu, ehee nuhu ... utufungulie safina ...

**&&%%

Baadaye akaja Mtiro (yes yule mtiro ....) na kuanza kuzabua makofi

phwyaaa ....
phwyaaa ....
phwyaaa ....
phwyaaa ....

Baaadaye,

well, ndoto yangu ikaisha.
progress.gif
 
kupima ni swala la msingi sana kwake na hasa akili kwa sababu watu wote ni vichaa ila viwango vya kichaa husika vinatofautiana kwa kila mtu.
 
Lol...Mwafrika you are sick!! Lol....
 
KUtoka mwananchi:

NImechukizwa na kukerwa na habari kuwa Rais wetu ameenda nje ya nchi kupimwa akili pamoja na mambo mengine! Hivi hao waliopanga jambo hilo wanamfikiriaje? Kwani ana dalili zozote za kutokuwa mzima akilini? Sitaki kabisa na tena sipendi Rais wetu apimwe akili ugenini; ni kudhalilisha taifa, na kutudhalilishwa wananchi.

Unless walikuwa wanapima kitu kingine zaidi kwenye ubongo! Lakini kama wangeweza kugundua kuwa ana matatizo kwenye akili bado angeweza kuwa Rais?

Lol!!! Ila na wewe ukapime akili ... siyo bure!!! lol!!
 
kupima ni swala la msingi sana kwake na hasa akili kwa sababu watu wote ni vichaa ila viwango vya kichaa husika vinatofautiana kwa kila mtu.
 
Maneno ya rais yanaonyesha matatizo ya akili makubwa kuliko maneno ya daktari yanavyofariji kwamba hana matatizo ya akili.

Asingekuwa na matatizo ya afya yake,madaktari wasingemshauri kupunguza ratiba zake za kazi za kila siku!!
 
Tatizo hapa ama rais au waandishi hawajaweza kutofautisha uchunguzi wa nerves/ afya ya ubongo na uchunguzi wa akili.

Uchunguzi wa akili sasa walimpimaje? Walimfanyia IQ test?
Jamani hivi hapa tnajaribu kutafuta mchawi kutoka kwa waandishi wa habari kama amesema yeye waandishi wa habari wangeliandika vinginevyo?!Hii inatupa nafasi ya kuthibitisha kitu ambacho tumekua tukikishuku.Sidhani kama Rais wetu kama mambo kichwani au akili yangekua mswano asingelikaa kimya kwa mambo yanayojiri kitaifa na huko CCM ambapo mambo ni PWAGU NA PWAGUZI hana kauliyoyote hana maamuzi yoyote Kimyaa! HATUNA RAIS TUNAPICHA YA RAIS MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Advocate unafahamu maana ya maneno yaliyowekwa katikati ya alama hizi mbili " " na yale yanayoandikwa bila kuwekwa katikati ya alama hizo?

Hiyo iliyowekwa hapo juu ni direct au indirect quote? unaelewa tofauti?

I am one of the most vehement Kikwete critics hapa, however in my criticism I always aim to be fair. Hicho ki quote hakituonyeshi maneno aliyosema kikwete, kinatuonyesha maneno ambayo muandishi anasema Kikwete amesema.

Big difference.

Ningetegemea advocate ajue mambo kama haya.

Unaelewa concept ya "Journalistic integrity" na jinsi waandishi wa habari Tanzania wanavyoharibu hii concept?
 
Jamani tatizo la rais wetu sijui ni nini.alishaambiwa ana matatizo ya nerves na anatakiwa apumzike ndio maana anashauriwa kutokugombea urais mwakan,huko atakuwa alienda tu kuthibitisha kama ni kweli hilo tatizo analo
 
Mimi wala siendi kupima akili najijua kabisa ni chizi!! Haiwezekani nione vitu vya wazi ambavyo viongozi wetu wanatakiwa kuviona lakini hawavifanyi na nikaendelea kuwa mzima wa akili. Najua tu mimi ndio chizi maana siwezi kuamini kuwa viongozi wetu wote ni machizi including huyu mkulu wetu!!
 
Back
Top Bottom