Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

au hawakumwelewa Malecela aliposema anayetakiwa kupimwa akili ni Sofia Simba? Mi hata sijui bwana! I need to have my akili checked too maana ...
Hata hivyo mzee Tingatinga alishauri uchunguzi huo ufanyiwe pale kwenye hospitali yetu ya Mirembe sio lazima watu waende Cuba. Ushauri wa yule mzee umetumiwa vibaya.
 
Wengi wetu tulishahisi rais wetu ana matatizo kutokana na yanayofanyika, tunashukuru kama amedhihirishia umma kuwa analo tatizo. Matokeo ya vipimo ni siri yake na daktari - anaweza kutangaza chochote (hasa kama analo hilo tatizo). Cha msingi ni wananchi kuchukua hatua - kama akili zetu pia ziko hivyohivyo basi tutaendelea naye tu.
Mimi namshauri Mwanakijiji atafute forum yake na kina Sofia Simba alafu aweke post kama hii waichangie.

Usianzishe threads za kuchangia Umbeya hapa. Kwani kuna tatizo gani akipimwa akili? Wewe unapoenda Hospital ukalalamika una Malaria ukachekiwa Full Blood Picture ina maana una ngoma?
Mwanakijiji unaanza kutufanya tuhoji integrity ya ufahamu wako
 
na mimi nahitaji kupimwa akili pia.....maana nina tiketi nyingi kwelikweli za safari,afu hata sielewi huwa nasafiri kwenda wapi...na kufanya nini...
 
Unajua mambo mengine yanafurahisha sana kuyasikia, na hili likiwemo.
 
labda ni kwa sababu kiswahili akina maneno mengi, kupimwa akili aina maana ya kuwa mtu anaangaliwa uchizi.

Kuna sababu nyingi tu mtu anaweza pimwa pressure at work which might cause stress, JK is the president we dont know what is eating him mentally, kuna scandals ambazo anasema anataka kuzimaliza kama kwenye maojiano yake ya simu na watanznia, kuna pressure from other world leaders, yaani ana decisions nyingi za ku-make at the same time he is a family man a human being.

Stress inaweza leta hathari zingine nyingi maradhi for instance hiyo kuanguka anguka kwake ovyo. Hivyo ni jambo la busara kuangalia concentration ya mtu especially rahisi wa nchi. Na si yeye pekee hata viongozi wa nchi kubwa ingawa hawa anguki hila tunaambiwa wana lewa sana behind closed doors ni ishara za stress. Ingawa vitu vingine hawaweki public hila trust, the only way a white man deals with stress is through therapy hila hawasemi.

Labda JK kafanya makosa kujaribu kuwa hakikishia afya yake wananchi wake. lakini si jambo la ajabu kwa viongozi wa ngazi za juu kuwa under pressure na ku-seek professional help and opinion hila wenzake huwa awasemi bali unakuja jua in their autobiographies later after their political lives.
 
Mimi namshauri Mwanakijiji atafute forum yake na kina Sofia Simba alafu aweke post kama hii waichangie.

Usianzishe threads za kuchangia Umbeya hapa. Kwani kuna tatizo gani akipimwa akili? Wewe unapoenda Hospital ukalalamika una Malaria ukachekiwa Full Blood Picture ina maana una ngoma?
Mwanakijiji unaanza kutufanya tuhoji integrity ya ufahamu wako

Watu wengine bwana, sasa integrity ya ufahamu ndio inahusika vipi hapa (wtf?) Halafu mko wangapi hapo kwenye kikundi kinachohoji "integrity ya ufahamu" whatever the *** that ***** to mean!

Kisha unakuja na matamko ya vikao kuwa Mwanakijiji atafute forum nyingine! Dude .... what the ***?
 
Mwanakijiji are you out of your mind. He said it himself, hakusema alikwenda kupimwa ubongo, am damn sure the president knows exactly what he is talking about.

"Nilipokuwa huko nilipima afya yangu na hasa akili na mishipa ya damu na wataalamu wakaniambia nipo salama"

Sasa wewe hutaki nini? Kama wewe ukiwa na wasiwasi kuwa una malaria unataenda kupima kitu tofauti?

Hell yes, ina maana kuwa aliangaliwa uchizi.

if only kama ulikuwa pembeni hau labda we dokta wake hapo nyumbani na ulimpa ushauri. Then ntasema asante kwa kwa kunifahamisha

Ikiwa amna hata moja hapo juu linakugusa its about time ukapime zako, maana mwanzo wa uchizi ni kulopoka lopoka ovyo.
 
Inasikitisha lakini si ndo hao hao wanao mshauri asifanye kazi nzito ya kutembea tembea kila nchi na kila sehemu angalau awe anapunzika japo kutatua matatizo ya nchini kwake na katika chama chake.
 
if only kama ulikuwa pembeni hau labda we dokta wake hapo nyumbani na ulimpa ushauri. Then ntasema asante kwa kwa kunifahamisha

Ikiwa amna hata moja hapo juu linakugusa its about time ukapime zako, maana mwanzo wa uchizi ni kulopoka lopoka ovyo.

Yeah,

Tulikuwa na wewe wakati vipimo vikifanyika ila wewe ukatoka nje kwenda "kulopoka lopoka" ndio maana hukushuhudia kipimo namba three.
 
Basi waliompigia kura nao wakapimwe !

Je wakumbuka jinsi ambavyo wananchi walijazwa matumaini kwa ahadi alizotoa mgombea wa CCM wakati wa kampeni? Wananchi wengi walidanganyika kwa hizo ahadi za "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA" wakatoa kura zao kwa MATUMAINI! Hawakufanya hivyo kwa kukosa akili.
 
12n2_01.png

Nilipokuwa huko nilipima afya yangu na hasa akili na mishipa ya damu na wataalamu wakaniambia nipo salama. Ninatarajia kupumzika baada ya mwaka mpya - Kikwete
12n2_01.png

haya matamshi yanatia mashaka zaidi ukiyatafakari vizuri lazima kuna jambo tena zito.
 
quote:
12n2_01.png

nilipokuwa huko nilipima afya yangu na hasa akili na mishipa ya damu na wataalamu wakaniambia nipo salama. Ninatarajia kupumzika baada ya mwaka mpya - kikwete
mtu anaenda kupimwa kile alicho na wasiwasi nacho mwilini mwake, sasa mkulu ana mashaka na akili yake hivyo ni haki yake kuamua ipimwe. Nampongeza sana maana hiyo ni dalili nzuri kujishuku.
 
Akili ni kama software inayohifadhiwa katika ubongo (ambao ni kama hardware). Hii ni analogy yangu ya electronics na biology. Sasa nashindwa kuelewa walimpima akili au ubongo? Nasema hivyo kwa kuzingatia kwamba kujua ubovu wa software hakuhitaji kuipima, ila utaona tu performance yake inakuwa tofauti na ilivyotumwa (programmed). Hapo ndo unaamua kuifuta (format/remove) na kusanikisha (install) upya. hakukuwa na upimwaji wa akili, otherwuse mniambie muungwana alikuwa anafanya mambo tofauti na sera (programmed) ndo watu wakaamua kumpeleka apimwe. Mwenye akili zenye utata hawezi kujipeleka hospitali kupimwa.
 
yeah you'd better stick huko huko kwenye electronics ukweli wenyewe hizo ni pumba tupu
 
No please!Ukweli ni kwamba rais amepimwa mshipa wa ubongo ambao inasemekana unasababisha hali ya kukosa nguvu kutokana na kuchoka.
 
Back
Top Bottom