Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

Sitaki tena, sipendi wampime Rais akili!?

Mkuu na mimi nakubaliana na penddekezo lako sassa hivi tusitumie mabo ya dini tena kwani dini yenyewe hata hawaiheshimu sasa hivi inatakiwa tusitegemee imani kwani haijatusaidia na watu hawajali sasa hivi tuzame kwenye sayansi inabidi wapimwe akili na vipimo huwa havidanganyi
 
Mkuu, viongozi wetu wanaweza wakapimwa akili zao, baadhi yao wakaonekana wako safi. Je wakibadirika baadae baada ya kupata madaraka, tutafanyaje? Would they deserve to be re-tested? Hata yule mzee wetu Mr. XY alikuwa clean mwanzoni, yaliyotokea tunayajua.
 
Tatizo letu ni kwamba tunaangalia sura za watu badala ya uwezo wao; na baya zaidi hizi sura zinaficha maradhi mengi na sugu hence the people we elevate to high office are in many cases terminally sick hence their inability to make decisions! Sasa kwa vile wanamaradhi yasiyoponeka wanataka wasife peke yao wafe na wengi na ndio maana hawajali, otherwise how do you explain their lack of seriousness in handling life threatening issues?
 
Kutokana na mambo yanayo endelea kwa viongozi wetu, imefika wakati sasa wa kupima akili za kiongozi kabla ya kumkabidhi ofisi ya umma. Kuna vitu vinafanywa na viongozi wetu ambavyo sio vya kizalendo wala hauhitaji degree kujua hapa kiongozi kapotoka au anadanganya. Wanatenda mambo kinyume na kiapo chao. Tulipofikia hamna haja ya kuapishwa tena, Mtu atapimwa akili kisha anakabidhiwa ofisi. Tukiweka imani katika viapo Tanzania haitafika popote. NCHI YA VIAPO BILA UWAJIBIKAJI NI ULAGHAI NA USALITI.


nadhani itabidi uanze na wanaowapigia kura, inawezekana waliopigiwa kura (viongozi) ni afadhali kuliko waliompigia kura...Logically it is so

Is high time we should change our view, our mindset, our character and behaviour. It is high time we should learn our leaders are actually our mirror we installed them, we elected them

Believe me many Tanzanians whether are ccm fans or chadema fan they have some i.d.i.o.t.i.c ina nature: unafiki, uchoyo, ubinafsi, maneno mengi, uvivu, kulaumu, ufisadi wa kila levele na kila aina, kufuata mkumbo, kuamini kila kitu, kuridhika etc!..I, too ,may be the one
 
Wananchi wanaweza wakampigia kura kiongozi bado asipite. wanaweza wakawa wazalendo kwa kuchagua mtu anaye wafaa lakini akafanyiwa zengwe. kwa mfano Hussen Bashe alishinda uchaguzi lakini akachukuliwa kigwangala cc ya vyama ndo inachagua viongozi bila kujali kwamba hao CC sio wote wasafi. Wameanzisha utaratibu wa kuchakachua kura ili kupata uhalali wa kukaa madarakani. Wanatoa kigezo cha kusema kama umeonewa nenda mahakamani kwa sababu wanajua mahakama hazitendi haki ndo maana kesi za uchaguzi zipo kimya.
 
Apimwe kwanza Kikwete!
Kwa sababu, anawakumbatia sana mafisadi, na benefits za migodi hatuzioni.
 
Back
Top Bottom