Sitaki sitaki sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,233
kama hatajuaoana kwanini unifuatilie kiasi hicho?kila saa huniamini mpaka mi mwenyewe najiona kama nalindwa.
kwani huwezi kuniamini bila kunifuatilia?nikikuambia nakupenda kwanii usiniamini?hivi utaweza kunilinda?
sitaki sitaki sitakiiiiiiiiiiii
 
Kulinda suna, mipaka pori mingi.
Ndo basi tena kubali tu, siku hizi wamama wanakaba hadi penati
 
Back
Top Bottom