Sitaki sitaki sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Sitaki sitaki sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

tatizo lako nini hasa mkuu,mbona upo kujibu rabbish zaidi,bullshit tupu,kanda ya kazkazini hapa,ukitafuta bwana utakuja kuolewa
Hahahaha kumbe kanda ya Kaskazini mshampitisha Cameron teyari? Nalog off
 
unaniangusha mkuu,mbona yangu inaeleweka ila wewe umevaa kimini nyeupe halafu unakata mauno
unajua kwa kuwa umevaa miwani ya wakongo huwezi kuona vizuri.pia mbona signature unaomba USIKONYEZWE??
 
pole sana kijana...anakaba mpaka penalti eeehh....kuna mahali ulicheza rafu kidogo akapoteza imani...uaminifu ukawa rehani.
 
Back
Top Bottom