Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,594
- 2,717
Ni kweli kabisa, waambieni hao watawala waheshimu watu, hata kule Palestina hawapendi kujilipua na mabomu (suicide)Trust me machafuko si jambo unalolitaka kama una watoto wanaoenda shule na una biashara inayohitaji utulivu wa jamii. Kumbuka siasa ni biashara za watu wengine, ss kuharibiana biashara sababu biashara ya siasa imekaa pabaya si sawa. Hii nchi hata uhuru watu hawakumwaga damu.